Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Yeye mwenyewe anataka mabadiliko.nje ya ccm.ila ndio hivyo
 
Issue ya Burkina Faso na Tanzania hazina uhusiano wowote usichanganye mambo Tanzania ni nchi ya demokrasia wananchi ndiyo wanahamua.

"WANAHAMUA" Mmeshikwa pabaya mwaka huu. Hata mkishinda mtakuwa na heshima
 
leo asubui Magufuli wakati akipita mbeya
kakutana na zomea zomea
eneo la mwanjelwa na uyole
kuna wana ccm walipangwa wamzuie ili ionekane wananchi wamemsimamisha azungumze
kibao kikageuka watu wakaanza kukimbia nakuanza kumzomea
ccm acheni maigizo leo yamewaponza

Asante kwa taarifa!! Hata mimi nilikuwa najiuliza hivi mikutano ya barabarani inakuwaje watu wanajiandaa hivi!! Kumbe janja ya nyani😀😀😀
 
Safi sana wanambeya. Mikoa yote iige. Tuifute ccn milele.
 
hiv mnadhan CCM wao hawawez mzomea lowasa? hiyo n dalili ya kushindwa, mmekubali kushindwa mapema mmeanz akuzomea, haya wenye timamu hatuzomea tutampa kura huyo huyo 25 oct.....

Zomeeni na nyie maccm, ngoma iwe droo.Tuone nani ana zomea original na nani ana zomea ya kukodiwa.
 
I can just imagine. Oktoba 25 siyo mbali. Hivi hao wahuni wa Mbeya watakuwaje after October 25. Magufuli for sure ndiye Rais wa awamu ya tano, atashinda kwa karbu asilima 70.
Ndoto ya mchana
 
Hii issue ya kusimamishwa na wananchi hata mimi nilishaishtukia kuwa ni maigizo.
Leo yamewa backfire....

Leo talala ucgz wa pono kwa aibu waliyoipata. Nilikuwa sipati majibu kuwa inakuaje mikutano ya barabarani harafu walivyo na akili za senene wanaweka hadi kwenye rekodi zao eti kafanya mikutano ya jukwaani kadhaa ya barabarani kadhaa!! Pyuuuuuu
 
Nilichoona hapa nikundi la watu wachache sina shaka waliandaliwa vizur kuzomea gud job Chadema, kwann mnatumia nguvu kubwa kuwapotosha vijana? Kama mnauzika why mnafanya haya? Alafu mlijiandaa na kuchukua video ili upotoshaji uendelee si wote niwajinga ati.
 
Magufuli anadhani ni Gasper peke yake kuna watu wako CCM ila kura zao ni kwa Lowasa na hiyo iko wazi kabisa,tuliona kilichotokea Songea kwenye mkutano wa ccm wananchi walipoulizwa Rais wenu ni nani wapo waliosema Lowasa na wengine magufuli,kumbuka huo si mkutano wa UKAWA Lkn Lowasa alitajwa na wanaccm bila kupepesa macho.Tusidanganyane kwa vitakwimu vya hovyohovyo wakati hali iko wazi kabisa kwa kutumia common sense unajua kabisa Lowasa ndio Rais.
 
mtoa mada kasema ukwer na kasema ukwer kabisa
 
Back
Top Bottom