Magufuli alikuwa muongo sana

Nchi ilifika pabaya, watu wanauwawa ili kutengeneza nafasi ya fedha za misaada kuliwa, a.k.a Lwajabe kule hazina.
Watu wananyang’anya pesa zao nyumbani na mabenki kama beureu za Arusha.
TRA ndio mkono wa kuwafix watu.
Hata wazee kina Makamba wanadukuliwa sauti kwenye simu na kuundiwa zengwe.

Lakini Mungu si Asumani, alitenda aliyotenda kuondoa kadhia hii.
Mama Samia Mungu amlinde.
 
Alikuwa hafai,afu alitaka kutuharibu kisaikolojia kutaka kumwogopa yeye tu.Wafuasi wake walijipa mamlaka,walitutesa na kujitutumua hadharani.Nasema hivi,MLIOBAKIA JIFUNZENI MUNGU HADHIHAKIWI.Sina kitu lakini nina amani,watasema mbona tulikuwa nayo...NASEMA AMANI YA MOYO.sina vita ya ndani kwa ndani
 
Ni lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata?

Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
View attachment 1831163
Dah huyu wakina kangi walimuita yesu na shehe wa mkoa alumfananisha na muhammad na kabudi alimuita Mungu wakati raia tunalua kila uchao huko majumbani...ha ha ha leo chali kafa akifukuliwa hata hutamani kumsogelea...mungu anamabavu sana...munao kuwa kwenye uongozi mujifunze...Histiria ya Magufur na Farao wa misr inatofautiana kudogo sana
 
Mbona husemi kuwa baba alivyo kuwa muongo kwa mama yako alisema kuwa anampenda kumbe mama yako alikuqa mchepuko kwa baba yako wakakuzaaa kwa bahati mbaya nje ya ndoa? Sema huo nao je baba yako alikuwa mkweli
 
Kweli ya wapi? Ule ulikuwa uongo wa wazi. Babu yangu alikuwa anamuamini ile mbaya, nikawa namuuliza aseme ni kipimo gani ametumia kujua idadi ya samaki huko kwenye maji, akawa anasema eti serikali ina mkono mrefu!
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Mbavu zanguuu

Serikali ina mkono mrefu mpaka baharini daaah[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…