Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Apumzike kwa lipi ?apumuzike salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apumzike kwa lipi ?apumuzike salama
Nchi ilifika pabaya, watu wanauwawa ili kutengeneza nafasi ya fedha za misaada kuliwa, a.k.a Lwajabe kule hazina.Mpaka kuna wakati nikikumbuka amekufa, najiuliza hivi ni kweli amekufa yule muuaji ama naota! Alikuwa anatupeleka kuzimu, na mbaya zaidi alikuwa anatengeneza mazingira aongezewe muda wa kutawala kupitia kwa chizi lingine la mirembe, " atake asitake!"
We uoni sabaya aliamini hivyoAngeendelea miaka mitano tena, angebadili katiba na kuwa rais wa maisha.
Kina Bulembo, Sanga na hata Ndugai walishaanza kupiga ndogondogo kubadili katiba.
Alikuwa hafai,afu alitaka kutuharibu kisaikolojia kutaka kumwogopa yeye tu.Wafuasi wake walijipa mamlaka,walitutesa na kujitutumua hadharani.Nasema hivi,MLIOBAKIA JIFUNZENI MUNGU HADHIHAKIWI.Sina kitu lakini nina amani,watasema mbona tulikuwa nayo...NASEMA AMANI YA MOYO.sina vita ya ndani kwa ndaniKwenye medani ya uongo na uzandiki mbona hana mpinzani huyo. Anapita bila kupingwa wala hafanyi hata kampeni (CV yake inambeba kishenz).
● Alituambia tuwachange bukoba wahanga wa tetemeko waliovunjiwa nyumba zao. Tukajikaza kiaskari na kujibana watanzania kuwachangia. Waulize kama waliona hata Sh 100 ya ujenzi wa nyumba zao.
● Alituambia kila mwalimu atapewa Laptop. Waulize kama amepewa hata mmoja.
● Alituambia kila kijiji atawapa Millioni 50 kwaajili ya kufanya maendeleo na uchumi. Waulize kama waliiona hio hela.
● Alituambia wafanyakazi sekta za umma/walimu, wataongezewa mishahara na madaraja kabla hajaondoka. Waulize kama wameongezewa hizo nyongeza za mishahara na madaraja (Labda madaraja ya ubungo na mfugale ndio wameyaona).
● Alituambia tutalipwa hela ndefu kwenye fidia ya makinikia. Kila raia noah moja moja. Waulize kama mabeberu walitoa hio hela.
● Alituambia Tanzania tutatoa misaada kwa wazungu, sisi ni "DONA KANTRI". Hakuna cha donna wala sembe, ni mwendo wa hali ngumu mpaka skin tight kupwaya mitaani.
● Alituambia serikali yake kutakua hakuna wizi wala ufisadi, na atakefanya ufisadi wa hela basi zitamtokea tundu lolote. Mbona yeye na kina Ole Sabaaya na Makonda walifisadi nchi na kuiba.
● Kwenye kutupa idadi za samaki, watoto wa samaki pamoja na mayai yao kwenye Ziwa Victoria na Baharini. Wala tusipagusie kabisa, tuache hio issue siku ingine.
Yule mzee sio kabisa. Siku alivyofukiwa mpaka malaika watoa kichapo waliokua likizo, ilibidi waitwe kazini kwa dharura kumpokea.
Alitudanganya hadharani kwamba Gaddafi alikuwa Rais wa Kuwait!
Politiko konmenNi lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata?
Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
View attachment 1831163
Hahahahaha.....Ni lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata?
Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
View attachment 1831163
Dah huyu wakina kangi walimuita yesu na shehe wa mkoa alumfananisha na muhammad na kabudi alimuita Mungu wakati raia tunalua kila uchao huko majumbani...ha ha ha leo chali kafa akifukuliwa hata hutamani kumsogelea...mungu anamabavu sana...munao kuwa kwenye uongozi mujifunze...Histiria ya Magufur na Farao wa misr inatofautiana kudogo sanaNi lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata?
Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
View attachment 1831163
Ina maama hata alipotaja idadi ya samaki waliopo baharini ,haikua kweli?
fungua uzi wa nyerere utiririkeHakuna Rais aliyekuwa muongo na tapeli kama Nyerere. Shida humu tumevamiwa na watoto+vilaza mnaochagua kusikiliza yale mnayoyapenda.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Yule mzee alikuwa anavuta bangi.Sikuwahi kumuamini hata sekunde moja.Mama Samia ana mengi moyoni.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Magufuli zee la magumashiNi lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata?
Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
View attachment 1831163
Weye ulikuwa unamchukuliaje yule dingi mkuu?Alikuwa "ha-smoke" gugu kweli?Siyo kwa akili zile!😝😝😝😝😝😝😝😝[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
Aliambiwa atubu akawa mbogo balaaa Sasa ukiambiwa utubu si utubu tu?😝😝😝😝😝😝Magufuli zee la magumashi
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Kweli ya wapi? Ule ulikuwa uongo wa wazi. Babu yangu alikuwa anamuamini ile mbaya, nikawa namuuliza aseme ni kipimo gani ametumia kujua idadi ya samaki huko kwenye maji, akawa anasema eti serikali ina mkono mrefu!