Magufuli alikuwa muongo sana

Kweli ya wapi? Ule ulikuwa uongo wa wazi. Babu yangu alikuwa anamuamini ile mbaya, nikawa namuuliza aseme ni kipimo gani ametumia kujua idadi ya samaki huko kwenye maji, akawa anasema eti serikali ina mkono mrefu!
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mabeberu Sasa yanatudhihaki lakini Mungu wetu mkuu, atanyanyua Tena mtetezi mwingine.

Nawaambia nyie mabeberu na makuwadi wenu hamtaitawala hii nchi milele.

Tanzania sio ya kwenu.
Wazazi wa Akwilina ni mabeberu!!??
Wazazi na watoto wa Azory ni mabeberu!!??
Wazazi na ndugu wa Ben Saanane ni mabeberu!!??
Sisi tulionyanganywa pesa kwenye maduka ya kubadilishia fedha ni mabeberu!!??
Watumishi ambao hawajapanda madaraja wala kupata haki yao ya nyongeza ya mshahara ni mabeberu!!???
Walioathirika na tetemeko Kagera kisha Watanzania tukawachangia na mwendakuzimu akaziiba hela hizo ni mabeberu!!???
 
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Mbavu zanguuu

Serikali ina mkono mrefu mpaka baharini daaah[emoji16]
alikuwa ana juwa adi idadi ya mayai samaki walio nayo na vifaranga dah!
samaki aina ya migebuka wapo milioni 5 na elfu enee!
sangara wenye uzito wa kilo 10 wapo milioni hamsini saba sabini na tano elf! Baharini kuu kuna vifaranga vya pweza trillion moja na point 5 dah hakuna alie bisha adi ma profesaπŸ™†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…