Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

Yule jamaa alinfurahisha kwa namna alivyojuw kulinda vitu, hasa vyakula na mahitaji mengine madogomadogo ambayo kimsingi ndio hugusa wengi (Ngoja nitumie mchele kama mfano).

Kitendo cha Mchele kuganda bei ya 1000-1200 kwa miaka miwili (2020-2021) bila kujali wakati wa mavuno au laah kilinifanya nimkubali sana kwenye food security, kibembe alipoingia tu huyu bibi ndani ya miezi 6 ukafikia 2000/= hapo ndo nilipoanza kushtuka kuwa tunakoelekea ni kubaya.

Ukitaka kutawala vizuri bila kelele hata kama ni mwizi basi hakikisha hauwabinyi watu watu kwenye mahitaji yao ya kila siku (hasa vyakula na viambata vyake) kwasababu hapo ndipo unapogusa hisia za wengi kwa wakati mmoja.

Utakuta mtu analipwa 500000Tsh, ila mtu huyohuyo akiwa na 10000 mkononi bado haitoshi hata kwa mahitaji ya siku moja, emagine ukinunua mchele 2Kg kwenye 5000 unabakiwa na 1000 ambayo haitoshi hata kununua mafuta nusu fanta, haya 10K imeisha hivyo[emoji23].

Sasahivi ni wakati wa mavuno ila gunia la mahindi utalinunu kwa 120k-130k, ikifika december au january tutalinunua kwa 200K, mafuta 5Ltrs 40K, daah[emoji23]. Halafu mtu anakuja kutetea eti mfumuko wa bei ni dunia nzima, nimetoka ZAMBIA mwezi uliopita wanaisha life zuri sana, hata Uganda tu hapa hakuna huo mfumuko wa kijinga kweye vyakula.

Haya maisha utayaona mazuri ukiwa mfanyaniashara (ingawa sera nazo ni mbaya), ila kwa watumishi wa umma mtavaa mno suruali moja kwa miezi[emoji23].
Duhhh this is too much we jamaa naisi ulikuwa jera umetoka juzi labda ulifungwa kipindi cha jk 2020-2021 mchele uliuzwa 1000-1200 duka la wapi ilo au mjomba unapika vitumbua unanunua mchele wa chenga? mpaka uyu mama anakabidhiwa nchi mchele ulikuwa umeshafika 2000 tena mpaka 2500 wadanganye wengine lakini siyo mimi hii nchi ilkuwa inaenda kiubabe kodi zinachukuliwa kwa nguvu watu wakawa wanafunga maduka kariakoo ilifika sehemu fremu ikawa mpaka 150000-200,000 tena iyo 200,000 ni china plaza biashara zilikuwa amna mzunguko wa pesa ukawa mdogo yote ayo yamefanyika kwa kipindi cha uyo unayemsifia akaja mama samia leo hii fremu ya 200,000 china plaza amna biashara zimekuwa nyingi watu wamerudi na mzunguko wa hela umeongezeka kitu kimoja ambacho mama inabidi ashauriwe ni kuzuia mazao kwenda nje kwa kipindi iki ..
 
Hayati Magufuli alikuwa ana nia njema na Taifa hili, ila wahuni wachache hasa waliokuwa karibu nae wakamzunguka wakamtoa kafara..

Kwa jinsi gharama ya maisha ilivyopanda, sikutegemea huyu mama aongeze elfu 20 tu..

Hakika Magufuli ataendelea kukumbukwa na watu wenye akili njema..
Rais Samia ni Rais sio mama yako so usimterm kwa jina la huyu mama
 
Magufuli alikuwa jembe sana, ila pía tukumbuke hio nyongeza enzi ya Magufuli ilikuwa ktk era ya kipindi cha miaka 5, ilhali kwa Mamá Samia ndio kwanza ana mwaka mmoja madarakani hvyo tumpe muda
Jembe kwa kuongezewa 70,000? Una akili timamu?

Piga hesabu ongezeko la madaraja limeleta kiasi gani?

Ongezeko la sasa limeleta kiasi gani?

Punguzo la 1% kwenye Paye limeleta kiasi gani na

Kulipwa madai kumeleta kiasi gani..

Msiwe wapumbavu mumehamishia akili kwenye bataksi..

On top of that kaondoa upuuzi wa Bodi ya Mikopo..

Mimi ningekuwa SSH ningewaambia kabisa kwamba nimefanya hayo tukutane 2026 maa a Watzn sio watumishi pekee.
 
Sasa wewe ulitaka nishukuru kwa lipi? Ngazi ya mshahara wangu inaonesha napaswa kupewa kiasi hicho, wewe unakidharau,kwa hiyo unatulazimisha watanzania wote tumchukie mama,kwa lipi? Hama nchi Kama huridhishwi na utawala wa mama,na kwa taarifa yako huyu yupo Hadi mwaka hadi 2030,jipange kisaikolojia,tofauti na hapo utakufa kibudu.
Nimeuliza sh laki mbili za kitanzania ndiyo zinakufanya useme huyu ni rais bora? Unakimbilia kuandika maneno meeengi, eti mpaka 2030! Wewe ni mjumbe wa Mungu? Ungekuwa na akili hata kidogo ungejua hata Magufuli kuna wajinga wengi walikuwa wanapiga kelele hivi hivi.
 
Yule jamaa alinfurahisha kwa namna alivyojuw kulinda vitu, hasa vyakula na mahitaji mengine madogomadogo ambayo kimsingi ndio hugusa wengi (Ngoja nitumie mchele kama mfano).

Kitendo cha Mchele kuganda bei ya 1000-1200 kwa miaka miwili (2020-2021) bila kujali wakati wa mavuno au laah kilinifanya nimkubali sana kwenye food security, kibembe alipoingia tu huyu bibi ndani ya miezi 6 ukafikia 2000/= hapo ndo nilipoanza kushtuka kuwa tunakoelekea ni kubaya.

Ukitaka kutawala vizuri bila kelele hata kama ni mwizi basi hakikisha hauwabinyi watu watu kwenye mahitaji yao ya kila siku (hasa vyakula na viambata vyake) kwasababu hapo ndipo unapogusa hisia za wengi kwa wakati mmoja.

Utakuta mtu analipwa 500000Tsh, ila mtu huyohuyo akiwa na 10000 mkononi bado haitoshi hata kwa mahitaji ya siku moja, emagine ukinunua mchele 2Kg kwenye 5000 unabakiwa na 1000 ambayo haitoshi hata kununua mafuta nusu fanta, haya 10K imeisha hivyo😂.

Sasahivi ni wakati wa mavuno ila gunia la mahindi utalinunu kwa 120k-130k, ikifika december au january tutalinunua kwa 200K, mafuta 5Ltrs 40K, daah😂. Halafu mtu anakuja kutetea eti mfumuko wa bei ni dunia nzima, nimetoka ZAMBIA mwezi uliopita wanaisha life zuri sana, hata Uganda tu hapa hakuna huo mfumuko wa kijinga kweye vyakula.

Haya maisha utayaona mazuri ukiwa mfanyaniashara (ingawa sera nazo ni mbaya), ila kwa watumishi wa umma mtavaa mno suruali moja kwa miezi😂.
Nyie ndio kupe mlitajwa na Mwalimu Nyerere mnaokula jasho la wakulima..

Awamu hii utakula jasho lako kama ulitegemea mkulima ahenyeke Ili Bei ziwe hovyo wewe unufike imekukata.
 
Kila raia ana haki ya kupima ubora kwa namna anayoona inamfaa.
Kumbe unajua? Kwani mimi nimekataa asipime ''ubora'' kwa kiwango cha akili zake alizonazo? Mimi nimempa challenge ya kuelezea alivyopima ubora. Au hujui hapa ni forum?
 
Yule jamaa alinfurahisha kwa namna alivyojuw kulinda vitu, hasa vyakula na mahitaji mengine madogomadogo ambayo kimsingi ndio hugusa wengi (Ngoja nitumie mchele kama mfano).

Kitendo cha Mchele kuganda bei ya 1000-1200 kwa miaka miwili (2020-2021) bila kujali wakati wa mavuno au laah kilinifanya nimkubali sana kwenye food security, kibembe alipoingia tu huyu bibi ndani ya miezi 6 ukafikia 2000/= hapo ndo nilipoanza kushtuka kuwa tunakoelekea ni kubaya.

Ukitaka kutawala vizuri bila kelele hata kama ni mwizi basi hakikisha hauwabinyi watu watu kwenye mahitaji yao ya kila siku (hasa vyakula na viambata vyake) kwasababu hapo ndipo unapogusa hisia za wengi kwa wakati mmoja.

Utakuta mtu analipwa 500000Tsh, ila mtu huyohuyo akiwa na 10000 mkononi bado haitoshi hata kwa mahitaji ya siku moja, emagine ukinunua mchele 2Kg kwenye 5000 unabakiwa na 1000 ambayo haitoshi hata kununua mafuta nusu fanta, haya 10K imeisha hivyo😂.

Sasahivi ni wakati wa mavuno ila gunia la mahindi utalinunu kwa 120k-130k, ikifika december au january tutalinunua kwa 200K, mafuta 5Ltrs 40K, daah😂. Halafu mtu anakuja kutetea eti mfumuko wa bei ni dunia nzima, nimetoka ZAMBIA mwezi uliopita wanaisha life zuri sana, hata Uganda tu hapa hakuna huo mfumuko wa kijinga kweye vyakula.

Haya maisha utayaona mazuri ukiwa mfanyaniashara (ingawa sera nazo ni mbaya), ila kwa watumishi wa umma mtavaa mno suruali moja kwa miezi😂.
Watu waliopo mijini wakiitaka serikali ihakikishe wakulima wanauza kazi ya jasho lao kwa bei ya chini ili washibe ni KUPE.
 
Duhhh this is too much we jamaa naisi ulikuwa jera umetoka juzi labda ulifungwa kipindi cha jk 2020-2021 mchele uliuzwa 1000-1200 duka la wapi ilo au mjomba unapika vitumbua unanunua mchele wa chenga? mpaka uyu mama anakabidhiwa nchi mchele ulikuwa umeshafika 2000 tena mpaka 2500 wadanganye wengine lakini siyo mimi hii nchi ilkuwa inaenda kiubabe kodi zinachukuliwa kwa nguvu watu wakawa wanafunga maduka kariakoo ilifika sehemu fremu ikawa mpaka 150000-200,000 tena iyo 200,000 ni china plaza biashara zilikuwa amna mzunguko wa pesa ukawa mdogo yote ayo yamefanyika kwa kipindi cha uyo unayemsifia akaja mama samia leo hii fremu ya 200,000 china plaza amna biashara zimekuwa nyingi watu wamerudi na mzunguko wa hela umeongezeka kitu kimoja ambacho mama inabidi ashauriwe ni kuzuia mazao kwenda nje kwa kipindi iki ..
Hao ni makupe tena watumishi wabinafsi..

Yule jamaa alifanya maelfu ya watu wawe maskini huku watumishi wakifaidi jasho na mateso ya Raia mtaani..

Sasa awamu hii wata feel the pinch kila mtu lazima ale kwa jasho lake 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220719-115541.png
    Screenshot_20220719-115541.png
    150.9 KB · Views: 5
Kumbe unajua? Kwa nini mimi nimekataa asipime ''ubora'' kwa kiwango cha akili zake alizonazo? Mimi nimempa challenge ya kuelezea alivyopima ubora. Au hujui hapa ni forum?
Kwani umekatazwa kumchallange? Mm nimekupa angalizo kuwa ana haki sababu nimesoma ulivyomjibu mwanzo. Au hujui hapa ni forum?
 
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.

Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Aliongeza baada ya miaka mingapi ya utawala wake?
Je,Basic salary iliongezeka?
Huu ni ushamba.
 
Ila kwenye ukwel tuwe tunaongea ukwel tuachane na ushabiki wa vijiwen mwamba alikuwa anapiga kazi waompinga n wale wezi waliozibiwa mianya ya kuiba ndo ukifatilia ndo wanamponda mzeee
 
Acha kusingizia Mwigulu, Mama anajihujumu mwenye mbona kule kwa walaja urojo unaambiwa watu wameongezwa hadi 300K?

Kifupi ni kwamba Bara hatuna mtetezi this time
Hiyo 300,000 imehusu kada ipi?
 
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.

Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Hii ni mwigulu.
Maskini akipata matako hulia mbwata ndo mwigulu huyo[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom