Magufuli aliwachukia Wachagga, Wanyakyusa na Wahaya kwa makusudi

Status
Not open for further replies.
Astakafullahi!
 
Hii nchi imeshikiliwa na Mwana Mama naona watu wanaendelea kumuchezea matiti (Sharubu angekuwa mwanamme).


Mtu amasimama hadharani kuleta chuki Kati ya Makabila makubwa na hajakemewa hadi sasa. Hii sio poa.
 
Kwa mara ya kwanza nakupongeza kwa kuwa mkweli

Your browser is not able to display this video.
 
Hujanijibu hoja.
Kama kuna mtu aliishi kwa chuki ni Magufuli.
 
Mkuu huko Mbeya na Kagera haujaona Meri? Barabara za huko Chukua?

Nahisi humu unawaandikia wasio ijua hii nchi vizuri.
 
Wahaya? Ambao walijazwa kama nini, kwa wachaga hao hawafai
 
Hapo Uzi imeisha? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Sisi wazee wa ufipa tunamkumbuka sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…