Magufuli aliwachukia Wachagga, Wanyakyusa na Wahaya kwa makusudi

Status
Not open for further replies.
Naona unakunya hadharani ,
 
Ubaguzi haujifichi naona umeamua kuchana live. Tukiwaambia magufuli alikuwa na ubaguzi mnakataa. Mfano halisi ni wewe mfuasi wake. Na yote hii si kingine bali WIVU ni kidonda kibaya sana.
 
Mpuuzi sana Huyu mleta mada. Hajui kuwa maneno yanaumba.

Wahaya na wanyakyusa wamejaa serikalini hivi sasa.

Akili kama hizi ndizo zilizoivuruga Rwanda kabla ya 1994.
Jibu swali kwanini magufuli alisema sehemu walizochagua upinzani hatapeleka maendeleo? Huo siyo ubaguzi? Wacheni kutetea upumbavu. Magufuli alikuwa na tabia za kishenzi na lazima tulikemee hili.lisijirudie tena. NEVER NEVER AGAIN!
 
Jibu swali kwanini magufuli alisema sehemu walizochagua upinzani hatapeleka maendeleo? Huo siyo ubaguzi? Wacheni kutetea upumbavu. Magufuli alikuwa na tabia za kishenzi na lazima tulikemee hili.lisijirudie tena. NEVER NEVER AGAIN!
Magufuli hakuongelea makabila yabaguliwe moja kwa moja kama mleta mada.

Hayati alichukia mizengwe ya kisiasa, pesa za bajeti zinapatikana kwa mawaziri kukubaliana na matusi ya wazungu halafu zikielekezwa majimboni anaibuka mtu analeta siasa za kupinga maendeleo!.

Viwanja vya ndege vimejengwa kila kona ya Tanzania. Barabara zimejengwa kila kona ya nchi.
Maji yanapelekwa kila kona ya nchi.
Hayati hakupenda ujinga wa siasa za kupinga maendeleo yanayopatikana kwa jasho.
 
Naona unakwepa kujibu swali langu bwana Filipo
 
Naona unakwepa kujibu swali langu bwana Filipo
Hayati hakuwa na kipaji cha mawasiliano lakini kilichotoka moyoni mwake kwa ajili ya watanzania siku zote kilikuwa na lengo la kuineemesha Tanzania.

Mpaka watoto wadogo walilia. Alale mahali pema peponi.
 
Magufuli alikuwa kila baada ya miezi kadhaa lazima aende Chato au Kanda ya Ziwa kukagua mafekeche yake
 
Acha ujinga , kenge mweusi wewee, kwani ni uongo kwamba Dikteta Magufuli alikuwa ni mbaguzi wa wazi wazi, alienda mbali zaidi kwa kuongea kisukuma akiwa kwenye mikoa ya watu wake. Shenzy sana.
 
Mbowe ni Mpuuzi sana ndio maana Hayati aliminya ushenzi kama huu , katika swala ambalo watz huwa hatuharibiwi ni hili la ukabila na kiongonzi anayeongelea makabila ni mpambavu
Hence Magufuli alikuwa mpumbavu
 
Hili swala wachaga litawatafuna kizazi hadi kizazi na kibaya zaidi kabila lenye ukabila hapa Tz ni wachaga hawa wengine wanaelewana ,
Chaga waendelee kusubili sana mpaka mwisho wa Dunia hakuna anayewaamini tena baada ya kupandikiza ukabila Stupid people ,shenzi kabisa
 
Magufuli mmoja ni mkabila kuliko wachaga 1000
 
Kuficha mabaya sio jambo jema tuyaseme hayo mabaya ya wachaga
 
Muache Magu apumzike....
mbona mzimu wake unawatesa namna hii!!??
unazungumzia uteuzi kitaifa Tulia spika mnyaki..
Mwakyembe mkuu wa Chuo
 
Chifu alikiwa anaamini katika kupindua meza. Hakuelewa kabisa kwanini kile Kijiji kiliitwa "Twende Pamoja"

Yeye aliamini kwamba Ni lazima mmoja aliye juu afe ndio mungine aliye chini ainuke. Hakuamini katika kunyanyua wote kila mtu kwa jambo lake na changamoto zake.
 
 
Uchaggani hadi Augustino Mrema alipata uteuzi japo mpinzani.

Mbeya akina Mwakyembe nk nk

Wahaya ndio usiseme Mwijage, Tibaijuka, Bashungwa nk nk
Hivi vyama ambavyo vinamilikiwa na wachagga ni tatizo sana. Kwanza wamevifanya SACCOS halafu wamekatalia madarakani
  • Mrema ( TLP )
  • Mbatia ( NCCR )
  • Mbowe ( CDM)
 
Kama huwezi kuuona ubaguzi alioufanya dhidi ya hawa watu badi wewe ni kipofu. Vinginevyo wewe ni mnufanika mnafiki wa kiwango cha juu sana.
 
Kweli mkuu, gatizo la mapungufu ya Magufuli lazima yasemwe.
Hayawezi kufumbiwa macho.
Mwalimu Nyerere hakuwahi kuwa mkabila kama tulivyoona kwa Magufuli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…