Magufuli aliwachukia Wachagga, Wanyakyusa na Wahaya kwa makusudi

Magufuli aliwachukia Wachagga, Wanyakyusa na Wahaya kwa makusudi

Status
Not open for further replies.
Uchonganishi wa namna hii kupitia mitandao ya Kijamii ndio ulifanya nchi Kama Rwanda ikaingia kwenye Vita vya kikabila1994.
Mtoa maada ni mchonganishi 100%. Nna watu kadhaa nnaowafahamu kwenye hayo makabila uliyotaja ambao waliajiriwa serikalini na taasisi zake Kati ya 2015-2020.
Istoshe Mimi ni mmojawapo wa mtu kutoka kwenye hayo makabila uliyoyataja na nimeajiriwa serikalini. Sijawahi kusikia Kiongozi yeyote akisema mtu toka makabila tajwa asiajiriwe.
Kama Uhuru tulikuwa tunautaka ndio huu, afadhali turudi enzi za Magu tuminywe tu.
Acheni kutetea upumbav kwanini mnadhani kuwa watu wote hatuna akili yakuona mambo jiwe alikuwa na chuki huo ndio ukweii
 
Hii ni coincidence ama planned agenda? Kaanza Mbowe kuongelea ukabila, sasa minions wake (wana JF) mmepokea kiitikio. Tena wewe ili uungwe mkono na wengi zaidi umeamua kuiboresha agenda kwa kufanya broader inclusion ya wanyakyusa na wahaya baada ya kuona mbowe kajiongelea wachaga tu ilivyo backfire. It is very interesting to see where this agenda is leading up to. Definitely something is cooking up and bubbling under. All one can do is to be a keen observer.
Kama unatoka Chato utalionaje tatizo?
Fiko sahemu zilizoongekewa ujionee mwenyewe Juu ya ubaguzi wa Magufuli.
Kwa akili yako wewe unafikiri its a coincidence kwamba Mawaziri toka Kanda pendwa wako saba, halafu mkoani Mbeya ni nil?
Tusiwe wanafiki.
 
ContentCreator Moderator Maxence Melo Naomba niwakumbushe Mauaji ya kimbari ya Rwanda 1990's yalisababishwa na mtangazo ya redio ambapo hii inajulikana

Maana yake ilipandikizwa mbegu ya chuki ndani mwa yule aliyetangaza siku ile, hatimae ile mbegu ikakomaa ikachepua

Sasa itapendeza MKITOA HUU UZI wa huyu kiongozi, Tuepushe Midajala yenye viashiria vya Chuki, ukabila na uzandiki ndani yake

CHUKUENI HATUA FUTENI SASA.
 
Wanyakyusa nimekaa nao sana. Hawatawaunga ktk hili nyie wachaga. Hii meli mmepanda wenyewe wala msivute wengine wawasapoti.
Wewe bonge la zuzu.
Kwani wanyakyusa ndio wanapenda kubaguliwa?
Ubaguzi ulioasisiwa na Magufuli?
 
Hili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.

Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi , na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.

Magufuli alikuwa mharibifu.
Naungana na wewe Ndugu Nappe
 
Kama unatoka Chato utalionaje tatizo?
Fiko sahemu zilizoongekewa ujionee mwenyewe Juu ya ubaguzi wa Magufuli.
Kwa akili yako wewe unafikiri its a coincidence kwamba Mawaziri toka Kanda pendwa wako saba, halafu mkoani Mbeya ni nil?
Tusiwe wanafiki.
Kagera wanatoka wangapi...?!
 
Acheni kutetea upumbav kwanini mnadhani kuwa watu wote hatuna akili yakuona mambo jiwe alikuwa na chuki huo ndio ukweii
Wajinga ninyi, mnafikiri hatuoni Magufuli akipeleka miradi ya maendeleo ya zaidi ya trilioni tatu kanda ya ziwa wakati barabara za Mbeya hazipitiki?
 
Thread za Ukabila naona zinaongezeka.. siku wakiamka watanzania wenye asiri ya india, somalia na waarabu.moto utawaka
 
ContentCreator Moderator Maxence Melo Naomba niwakumbushe Mauaji ya kimbari ya Rwanda 1990's yalisababishwa na mtangazo ya redio ambapo hii inajulikana

Maana yake ilipandikizwa mbegu ya chuki ndani mwa yule aliyetangaza siku ile, hatimae ile mbegu ikakomaa ikachepua

Sasa itapendeza MKITOA HUU UZI wa huyu kiongozi, Tuepushe Midajala yenye viashiria vya Chuki, ukabila na uzandiki ndani yake

CHUKUENI HATUA FUTENI SASA.
Mbegu ile ilitokana na chuki iliyopandikizwa muda mrefu, kama Magufuli alivyokuwa akifanya.
Lazima tatizo lisemwe ili lisirudiwe tena.
 
Magufuli hakuwa na chuki na hayo makabila Ila nilichokiona ni kujaribu kuweka uwiano sawa Jambo ambalo hayo makabila mengine kwakua yalizoea kuhodhi baadhi ya nafasi kuona kama yanabaguliwa.

Kuna Taasisi za Serikali ulikua ukienda unakuta karibia korido nzima ni Kabila moja wanazungumza lugha ya nyumbani kwao na kuulizana mambo ya huko vijijini, unabakia kushangaa.

Hivyo nipende kuwaasa tu wahusika kwamba wajifunze kuendana na uhalisia wa mambo hivi sasa kwakua utetezi wao ilikua wengi wao waliwahi kupata elimu, Sasa watanzania wengi wamekwenda shule hivyo Hali haitakuwa kama zamani kwamba wao ndio wamehodhi Kila kitu.

Na Watanzania wengine wa makabila mengine wanayo haki ya kupata hizo nafasi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom