dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Acheni kutetea upumbav kwanini mnadhani kuwa watu wote hatuna akili yakuona mambo jiwe alikuwa na chuki huo ndio ukweiiUchonganishi wa namna hii kupitia mitandao ya Kijamii ndio ulifanya nchi Kama Rwanda ikaingia kwenye Vita vya kikabila1994.
Mtoa maada ni mchonganishi 100%. Nna watu kadhaa nnaowafahamu kwenye hayo makabila uliyotaja ambao waliajiriwa serikalini na taasisi zake Kati ya 2015-2020.
Istoshe Mimi ni mmojawapo wa mtu kutoka kwenye hayo makabila uliyoyataja na nimeajiriwa serikalini. Sijawahi kusikia Kiongozi yeyote akisema mtu toka makabila tajwa asiajiriwe.
Kama Uhuru tulikuwa tunautaka ndio huu, afadhali turudi enzi za Magu tuminywe tu.