Magufuli aliweza vipi kwa Miaka 5?

una ushaidi nani alimchukulia.
 
Kipindi cha magufuli au hata jakaya kulikuwa na hzi tozo?

😀😀😀

Sio ninyi mnaoiambia serikali ibuni vyanzo vipya vya mapato?
Au mnataka vyanzo visivyowagusa ninyi😂😂

Kuna mshikaji mmoja akinifurahisha Sana,
Anasema serikali ibuni vyanzo vingine vya mapato, mbona kuna Madini, wanyama, sijui bandari, bahari, n.k.
Nikamuuliza mbona yeye hajajitaja?
Akaniambia yeye hahusiki😀
 
CCM ni ile ile, mtaji wao ni ule ule!
Watu wale wale, ujinga ule ule!

Kwa kuwa ujinga ni chachu ya umasikini

Umasikini unavyozidi kukua ndivyo ujinga unavyozidi kunawiri.
Ujinga unavyozidi kunawiri, ndivyo mtaji wa CCM unavyozidi kukua.

Alafu mtu anamlaumu Samia na kumsifia JPM wakati wanatoka nyumba moja.

Watanzania wanafurahisha sana
 
Kwa nini bado alikuwa anakopa kwa kasi?
 
Huwa nakuheshina na kukubali kuwa we jamaa una IQ hasa kwenye nyuzi zako ila hapa umeharibu na angalia comment yako isije poteza mashabiki maana ulicho kitoa ni tofauti na ulivyo au upo na K vant pembeni ,
Tozo ilianza kwenye makato ya umeme,ikiwa na maana ya majengo, leo hii Tozo kwa wapangaji je hauoni kama tozo ya jengo imebeba tozo mbili ila inapitia katika njia mbili tofauti,
Tafakari hiro
 
Nchi yenye "hofu ya Mungu" unaipimaje??
Unaweza nipa mfano wa nchi yo-yoed ile ya kistaarabu yenye hofu ya Mungu na iliyoendelea ambapo masikini wanalipa kodi na siyo matajiri? Hivi kwa masikini unaweza kupata kodi ya maana kuendesha nchi? Kwa pato gani ?
 
Nafkiri muda na mabadiliko vinasema ukweli siku zote.
Tuendelee kushuhudia CCM ikizidi kuwa adui wa tiafa.
 
Peter Zakaria,Manji na Dewji ni wahanga wa huyo rais wa wanyonge.

Okey tufanye nakubaliana na wewe kua alipora izo ela kwa hao watu...basi toa data ni jinsi gani kuporwa kwa ela za hao watu ziliyumbisha uchumi kwa wananchi na taifa, alafu unalinganishaje hasara ya watu wanne kwa faida ya watu mianne!!!? Huenda unayesema apo huna undugu ata na mmoja kati ya hao mabillionea
Inshot kuua watu sijui kufirisi watu ni na ujasusi wote upo tena hasa kama mtu anacheza na njia yako ya mafanikio kwa maslahi ya watu wengi ndo maana hata ayo mataifa sijui US usipolipa kod au kukwepa kod mtiti wake ni mkubwa mno na wao wanaua na kufirisi pia so kwa JPM acha apumzike tuu kazi aloifanya ni kubwa mno.
 
Hao ni mfano tu.
 
Ukweli ni kwamba hata walokua tulompinga JPM, kwa sasa tunamkumbuka,

Kama kunamtu anamchukia anamchukia out of his personal hatred na wala hana sababu za msingi za kumchukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…