Magufuli aliweza vipi kwa Miaka 5?

Jiwe aliendesha nchi kwa uongo na udanganyifu. Alikopa sana mikopo ya kibiashara huko nje kimya kimya.

Kwani saivi inapokopwa wazi wazi ndo riba zinapungua? Kwani ushasikia maden ya UK and etc rais wa nchi akiyasema waziwazi kua katoka kwenye ziara za kukopakopa uko? Shame on us yani we unafurahia kiongozi wako wa nchi akiweka wazi kua katoka kukopa uko ndo ujisikie proud ?
 
Kodi gani,?
 
Nchi yenye "hofu ya Mungu" unaipimaje??

Nchi zilizoendelea zote zina hofu ya Mungu kwa namna moja au nyingine na ndiyo maana kila mtu kwenye nchi hizo anapata mahitaji stahiki na walio chini wanasaidiwa na siyo kukandamizwa kama wanavyofanyiwa sasa hivi Tanzania, Tanzania Utawala hauna hofu ya Mungu na ndiyo maana hakuna fairness au haki kwa kila mtu hasa watu wa chini!
 
Hukusikia Wahujumu uchumi wakina Sethi na wenzake?

Wakati Watanzania karibu wote ni wahujumu uchumi kulingana na sheria za Kodi.
Au kisa Sisi ni masikini???

We sijui unashida wapi??? em elewa siku zote ukitaka kufanya solution ya tatizo vi vizuri uanzie uko pakubwa ndo uje mpaka chini sa ulitaka aanze na watanzia wa chini kati hao mabillionea wanatumbua tu ela za kod!!!! Ndo maana huoni tatizo now kos mfumo wa serikali saivi unadill na watu wa chini bila kuzingatia kwanza kama ngazi za juu kote kupo clear.
 

Sawa
 
Hao ni mfano tu.

Izi issue zipo tokea enzi za baba wa taifa kilichopi hapa naomba unielimishe ni vipi iyo kutesa kupora na kuua viliharibu uchumi wa taifa na vilimgusaje mwanachi mmoja mmoja na kwaidadi gani ukilinganisha na wanufaika wa ayo matendo yake ambao ndo wengi. Naomba uniprove wrong apo ndugu yangu.
 
Unaweza nipa mfano wa nchi yo-yoed ile ya kistaarabu yenye hofu ya Mungu na iliyoendelea ambapo masikini wanalipa kodi na siyo matajiri? Hivi kwa masikini unaweza kupata kodi ya maana kuendesha nchi? Kwa pato gani ?
Nchi ya kistaarabu kila mwananchi analipa kodi, iwe masikini au tajiri.
 
True Magufli was a genius and a true son of the soil waliopo Sasa mh hatari sana
 
Hi point ya mwisho inabeba chuki ya kila mtu matozo mengi halafu amna la maana zaidi ya kuongeza perdiem za mawaziri
 
Aliweza kwa kupora pesa za Wafanyabiashara na kuwapora maskini pesa zao kwakuwauzia vitambulisho fake alivyoita vya ujasiriamali..

Mwisho hakuna chochote Cha maana aliweza zaidi ya kuanzisha miradi na iliyokamilika ni chini 30%..

Mwaka mmja wa mama hakuna kupora pesa ila kila Mtu analipa Kodi stahiki na tozo za serikali Ndio maana unaona sasa Kila sekta inakwenda mbele zikiwemo zilizomshinda Mwendazake..
 
[emoji16][emoji16][emoji16]aliweza vipi kundoka bila kuweka misingi mizuri ya kusimamia Mali za umma...
Comment ya kipuuzi sana hii. Mali yoyote ikikosa usimamizi mzuri hata sheria ziweje hazisaidii. Hebu tupe mfano hata mmoja wa hiyo mising mizuri ya kusimamia mali za umma
 
Ndugu hakuna mtu anayekataa kulipa kodi,ila tatizo ni hizo tozo,mleta mada kauliza swali anapaswa apate majibu,wewe tueleze kwanini Magufuli alifanya mambo makubwa na tozo hazikuwepo,Tozo na kodi ni vitu viwili tofauti,hata masikini wakati wa magufuli walilipa kodi,kwani hukumbuki machinga,mama ntilie na wafanyabiashara wengine wadogo walitengenezewa vitambulisho rasmi walivyolipia?Sheria ya kodi ina mipaka na wala si kwa kila mtu!.

Wewe tueleze magufuli aliwezaje kufanya mambo makubwa pasipo tozo hizi za kijinga jinga!
 
What are you benefitng from hating a person who was real patriot in our country.

A person who tried his best to keep everything on the line before he died.

A person who had the guts to change and did things that before looked impossible.
Nani na wapi nimesema namchukia JPM ? Kila mtu ni mzalendo kwa nafasi yake hivyo sioni kitu special Cha kumuona JPM Kama mzalendo kuzidi Watanzania takribani 60m.

Ebu tueleze mkuu kitu gani impossible ambacho hakikuwahi kufanywa ndani ya nchi hii na JPM pekee ndo amefanya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuwa na akili ata kwa dakika mbili kenge wewe,kwa mleta mada hajui jpm na marehemu,watu wanaongelea vitu vya msingi wewe unaleta chuki zako kama vile marehemu alikuachia dole mqunduni ovyooo kabisa.
Mbona povu mkuu enyi kundi mwendazake wapi nimesema namchukia JPM Kuna muda wekeni hili akili mwenu kusikia yale ambayo ni tofauti na fikra zako.tusi ulilo sema haliwezi badilisha chochote kwamba marehemu kalala chatlle.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aliondokaje bana?, Muache jabali apumzike
jabalii
Comment ya kipuuzi sana hii. Mali yoyote ikikosa usimamizi mzuri hata sheria ziweje hazisaidii. Hebu tupe mfano hata mmoja wa hiyo mising mizuri ya kusimamia mali za umma
misingi lazima ijikite kwenye sheria usimamizi mzuri ulio usema lazima ujengwe na sheria kibaya ni kwamba yeye ndio alikuwa mvunja sheria number moja.
Na haya yanayoendelea ni mwendelezo wa yale aliyo yaanzisha tofauti ni kwamba saivi wanatumia ujanja yeye alitumia ubabe ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…