Magufuli aliweza vipi kwa Miaka 5?

Umejibu ujinga kwenye kipindi ambacho tunategemea Watu wenye akili kubwa kutupatia majibu ya kutupa faraja!!!
Majibu gani ambayo wewe unataka ili upate faraja kutoka kwa nani? Kama tu kiongozi ambaye mnalipa mshahara na posho anawajibu kwamba asiye taka Kodi aende Burundi mlifanya nini ?

Alafu mimi nimesema kweli ambao naona mnapotosha Kama raisi JPM haja pumzika Chato basi sema usingizi wake wa milele amelala akiwa wapi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna nchi isiyokopa, hata UK inakopa. Shida ni kudanganya umma kuwa sisi ni matajiri huku unaenda kukopa kisiri tena mikopo ya kibiashara yenye riba kubwa. Serikali ya Jiwe ilikuwa imejaa uongo na udanganyifu mwingi. Ilifanya brainwashing kubwa watu wakaamini tunasonga mbele kumbe tulikuwa tumekwama.
 
Miaka 5 ya kwanza alichukua kwa matajiri na wenye kipato cha kati. Kama angeendelea huenda alikuwa na plan B iwapo matajiri wote wangegeuka mashetani ila ndo hivyo haikuwa.
 
Kumbe unapenda wazee wa show off, kujionesha na misifa mingi!
.
Kufanya kitu kidogo tu lazima uite wanahabari na vyombo vyao uonekane kwa media!
 
Uyasemayo yana ukweli ni haki ya kila mtu kulipa kodi lakini serekali imewawezesha kwa kiwango gani wananchi wake katika maisha yao kuweza kulipa kodi au watu walipe kodi bila kujua uwezo wao wakati kwa sasa kilo 1 ya unga sembe inakaribia 2000.
Ukitaka kuangalia gharama za maisha kwa bei za vitu jaribu kuhusisha angalau awamu 3,,
Mfano ngano kwa jk ilkuwa tshs--, kwa magufuli ilikuwa--- na sasa iko ---! Ukimaliza Fanya mahesabu ujue wapi pameonekana kupanda zaidi!
 
Tuliambiwa Magufuli hakukopa maana alikosana na Mabeberu.Siku zote Idiots wakiachwa nafasi watawachagulia viongozi na mwisho wa siku nchi inakuwa inaongozwa kipumbavu.
 
Ila sisi watanzania ni watu tunaongea tusiyoyajua. Hivi wewe wkt wafanyabiashara wanalalamika vyuma vimekaza uliona sawa kwasababu hakukuwa na tozo inayokubana wewe? Wkt akaunti za watu zinafungwa na ela kuchukuliwa wewe uliona sawa kwasababu hazikuwa za kwako? Sasahv tunashirikiana wote kuleta maendeleo........lipa tozo kwa maendeleo ya nchi yako acha porojo......
 


Unavyosema hajawaminya wananchi kwani wafanyabiashara sio wananchi kaulize wenye maduka ya pesa, waliochukuliwa pesa bank bila sababu na nenda kariakoo kaulize
 
Ukiwa umelewa usiwe unacomment. Brainless goat.
 
Badala ya kuweka tozo ,aliwapora wafanya biashara pesa zao na kuziingiza serikalini kwa kuvunja haki za watu hao
 
Kama ulikuwa una majibu yako tayari sio kwanini umeileta humu! Ukweli lilikopa sana na kukwapua hela za matajiri kinguvu hadi wengine tuliambiwa wametekwa kumbe mtekaji ni kibaraka wake Bashite, hakuwa na maajabu yoyote.
 
"Serikali corrupt,haikusanyi Kodi,inabaki kufukuzana na masikini",Mwl. Nyerere
 
To frozen the economy of our country because of hate late behavior was a stupidity kind of life Jiwe made in our country,this person was an evil person and shall be an evilo person always.
Who is not an evil in the CCM government?Kikwete became rich after coming out of power,where did he get all those wealth,if not plundering and looting of our national resources!!
 
Porojo tu unapiga
 
Hukusikia Wahujumu uchumi wakina Sethi na wenzake?

Wakati Watanzania karibu wote ni wahujumu uchumi kulingana na sheria za Kodi.
Au kisa Sisi ni masikini???
Wewe Seth unamjua?huyo katapeli mpaka serikali ya Kenya,aliletwa hapa na wahuni ajifanye kuwa anainunua IPTL kumbe muhuni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…