Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

Magufuli afagilia kiwanda kipya,
Wananjombe wanasema Magufuli oyeeeView attachment 2259771
Hakuna kitu akifanya yule mshamba..

Viwanda ni kama hivi hapa kwenye video sio ginery za kukatakata majani ya chai afu unaita kiwanda 😆😆👇
 

Attachments

  • - TBC WEKEZA TANZANIA _ HATIMAYE KITENDAWILI CHA KONGANI YA VIWANDA 100 KIGAMBONI CHATEGULIWA ...mp4
    39.6 MB
Hakuna asiyejuwa kwamba Magufuli amekufa kabla hajamaliza ndoto zake za kuijenga Tanzania.

Magufuli alisimamia anachokisema na sio porojo.,
Magufuli hakumaliza muda wake wa uongozi,

Kuna Mambo mengine unaweza Kumcheka mwenzio kumbe wewe unayecheka ndy kituko zaidi.

RIP MAGUFULI.
RIP KIBOKO YA WEZI WA MALI ZA UMMA NA VYETI FEKI.
 
Si tumekubaliana kwamba serikali haifanyi biashara Bali inaweka mazingira mazuri yenye kufavour wafanyabiashara wafungue viwanda!!?

Kwa nn alaumiwe magu? Km viwanda nenda mkuranga kuna viwanda vya kutosha
Kasema taja kiwanda, acha kuwa longolongo kama Jiwe
 
Imbecile!
Kwani ulidhani serikali ndio I inajenga viwanda au inatengeneza mazingira kwa wawekezaji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmebadilika tena
 
Unalinganisha mtu alikaa miaka 20 madarakani na mtu aliyekaa miaka 6 alafu unataka matokeo yafanane kwelii?
 
Kwahyo furaha yako ni kuona anko aliondoka bila ya kuacha kiwanda hata kimoja sio![emoji848]


Kile ni kifo hakupanga kufa ila ilitokea huenda angelikuwa hai angelikuwa ashaanza kufungua viwanda...
Kama vile vya Cherehani 4
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Selikal huwa haimiliki.viwanda kwa maana ifanye biashara hata ukija usa kazi ya selikali ni kutengeneza mazingira mazuri kwa watu au wawekezaji wao ndio wazalishe na selikal ikusanyekodi kupitia kiwanda na waajiliwa wa kiwanda
[emoji848][emoji848][emoji848] Hata kuandika tu neno serikali hujui. Wewe utakuwa mnyonge
 
Mwinyi, Mkapa na Kikwete walijenga viwanda gani.
 
Marekani, Ujerumani, Uingereza, Japan… ni miongoni mwa kubwa za viwanda ! Nitajie raisi au waziri mkuu gani au chanselor gani alijenga yeye mwenyewe viwanda ? Hebu muacheni huyo bwana apumzike kwa amani pamoja na mapungufu yake mengi ! Daa !
Apumzike vp kwa amani kwa uovu wake ule
 
Mwinyi, Mkapa na Kikwete walijenga viwanda gani.
Acha Ujinga. Mwinyi alikuwa na Ruksa mtu Mtu kufanya atakacho, Mkapa alikuwa na Uhuru na Uwazi, Kikwete alikuwa na Mkukuta na Mkurabita. Lakini mwenda zake aliluwa na Tanzania ya Magufuli ni Tanzania ya Viwanda hapa kazi tu. Au miaka mitano ikaisha bila kufa nyakazi yoyote. Kazi aliyofanya ya kufokafoka kwenye Mikutano yake. Ubabe mwingi kumbe naye anakufa
 
Cherehani 4 ni kiwanda - Mwijage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…