Aliandaa mazingira wezeshi gani zaidi ya kuwatimua wawekezaji wenye mitaji yao na wakahama nchi kabisa!??Mleta mada inaonekana huna uelewa wa kutosha wa kauli ya hayati magufuli. Serikali ilishatoka katika mfumo hodhi ( mfumo wa kushikilia viwanda n.k) ili kukuza uchumi badala yake inaanda mazingira wezeshi ya kuwezesha watu kuwekeza katika viwanda.
Sasa unataka serikali ijenge kiwanda then kiwanda hicho kishindane na watu binafsi, unadhan mtu binafsi ataweza ku-survive kwenye ushindan huo?
Hebu tafakari Kwa kina juu ya bandiko lako
mimi nakutajia 20 uko tayari ?Wataje watu watano tu aliyowauwa.
Naomba nikutajie 20 ambao wanajulikana. Nitakao wataja hayupo Ben Saanane, Azory Gwanda, Alfonce Mawazo, Akwilina wala Leopord Lwajabe.Wataje watu watano tu aliyowauwa.
Acha Ujinga. Hujui kwamba ni hifadhi ya Jamii hata wasio Watanzania? Nyerere alianzisha TIPER na TPDC. Unatakiwa Utaje kitu cha Nchi sio hela za hifadhi za wafanyakaziPssf ni serikali magereza ni serikali kwaiyo ni cha serikali na alikizindua maguful 2020
Si vilijengwa viwanda 3000 vya watu wasiojulikana?Salaam Wakuu,
Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.
Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.
Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.
Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?
Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.
Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
View attachment 2259480
Angalia hapa alikuwa ananyang'anya watu Viwanda vyao anadai ni vyake. Mungu Shujaa
Nasema Industry sio Factory
Tuonyeshe viwanda vimejengwa wapi? Anza na vile 3000 walivyotangaza tujue viko wapi!Uzuri watanzania wa Leo hawadanganyiki tena,,
Magufuli ametufumbuwa macho watanzania,
Kwa sasa tunajuwa tofauti ya nyeupe na nyeusi.,
Tumeshaelewa kuna genge la wezi wa Mali za umma ndy wanaongoza kumchafua Magufuli.
Mchafu hachafuliwi bali msafi ndiyo anachafuliwa kama ulikuwa hujui. Yule bwana alikuwa tishio kwa ustawi wa TaifaUzuri watanzania wa Leo hawadanganyiki tena,,
Magufuli ametufumbuwa macho watanzania,
Kwa sasa tunajuwa tofauti ya nyeupe na nyeusi.,
Tumeshaelewa kuna genge la wezi wa Mali za umma ndy wanaongoza kumchafua Magufuli.
Kumlinganisha Mwalimu Nyerere na vitu vya hovyo hovyo ni dhambi ya mauti! Jitu linahubiri sera ya viwanda lakini halijengi viwanda limekazana kujenga makalvati kwa mikopo ya riba chafu kabisa! Ila Mungu ni mkubwa, akaamua ugomvi Bahari Imetulia! [emoji2]Salaam Wakuu,
Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.
Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.
Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.
Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?
Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.
Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
View attachment 2259480
Angalia hapa alikuwa ananyang'anya watu Viwanda vyao anadai ni vyake. Mungu Shujaa
Nasema Industry sio Factory
Kama mchafu hachafuliwi kwann zinatumika gharama kubwa na nguvu nyingi kumchafua Magufuli mitandaoni?Mchafu hachafuliwi bali msafi ndiyo anachafuliwa kama ulikuwa hujui. Yule bwana alikuwa tishio kwa ustawi wa Taifa
Salaam Wakuu,
Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.
Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.
Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.
Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?
Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.
Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
View attachment 2259480
Angalia hapa alikuwa ananyang'anya watu Viwanda vyao anadai ni vyake. Mungu Shujaa
Nasema Industry sio Factory
Magufuli alikufa 4 years before his time.Tuonyeshe viwanda vimejengwa wapi? Anza na vile 3000 walivyotangaza tujue viko wapi!
Mkuu mpaka leo Adolf Hitler bado anasemwa, sababu kubwa ni kutokana na matendo yake. Ukiwa muovu watu hawatokusahau kirahisi hivyo. Nchi imepitia kipindi cha giza wakati wa Jiwe. Trust me hata ipite miaka 20 bado watu watakuwa wanakumbuka uovu wake. Mkuu yawezakuwa wewe hukupata madhara yake ndiyo maana waweza kumuona kama Shujaa kwa upande wako kama wanavyomuona wanyonge. Kumbuka mnyonge halipi kodi yoyote na anapenda sana pale mtu aliyemzidi kipato apate shida. Kama wakumbuka kauli ya Jiwe kuwa atahakikisha matajiri wanaishi kama mashetani. Wengi walishangilia lakini ni wale ambao hawana elimu yoyote na ni watu wanyonge. Mtu anayejitambua hawezi kushangilia kusikia kuwa matajiri wanaenda kukomolewa wakati hao matajiri ndiyo wanatoa ajira kwa raia wako. Yapo maeneo alifanya vizuri lakini uovu wake umefunika hayo machache hasa swala la kuua raia wake,wizi na uongo.Kama mchafu hachafuliwi kwann zinatumika gharama kubwa na nguvu nyingi kumchafua Magufuli mitandaoni?
Mlipaswa mpige kimya na kuacha ukweli uonekane wenyewe bila kutumia kudanganya watu .
Kwa yanayoendelea sasa inchini hata kipofu ameshaona tofauti ya kiongozi Bora na Bora kiongozi..
Mnapoteza muda wenu bure kuendelea kupambana na marehemu.
Alimpatia bakhresa ekari 10,000 bure huko bagamoyo ili ajenge kiwanda cha sukari na tiyari kiwanda kimejengwaAliandaa mazingira wezeshi gani zaidi ya kuwatimua wawekezaji wenye mitaji yao na wakahama nchi kabisa!??
Hicho kiwanda kilikua kinafanya kazi toka enzi za mwinyi. Alichofanya magufuli Ni kukiongezea tuu uwezo wa miundominu na wataalamuKilimanjaro Ikternational Leather Industries Co. Ltd, Kiwanda cha viatu bora kabisa vya ngozi kwa Africa, chenye kutumia tekkologia kutoka italy, kilijengwa na serikali 2017
Tuna uhakika gani anapumzika kwa amani??Si mumuache mzee JPM apumzike kwa amani
Hakujenga hata kimoja lakini aliweka mazingira ya kushamiri kwa viwanda vitakavyojengwa. Aliifungua nchi kwa kufanya kazi usiku na mchana.Salaam Wakuu,
Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.
Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.
Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.
Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?
Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.
Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
View attachment 2259480
Angalia hapa alikuwa ananyang'anya watu Viwanda vyao anadai ni vyake. Mungu Shujaa
Nasema Industry sio Factory
Ni mada yenye misingi hafifu sana.Imbecile!
Kwani ulidhani serikali ndio I inajenga viwanda au inatengeneza mazingira kwa wawekezaji?
Magufuli ameongoza miaka sita. Mkapa miaka 10. Mwinyi miaka 10. JK miaka 10. Mwalimu Nyerere 24. Hebu tupe project zote kubwa kuanzia kwa Mwalimu mpaka tulipofika na nani alizifanya. Tusipokuwa waangalifu, tutaendelea kucheza hii ngoma ya kipumbavu ya wajanja wachache na wale waliowaweka kwenye media.Salaam Wakuu,