Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Pumba tupu unazotoa hapa; je bado unataka kuendelea kujadiliana na mimi kwenye mada hii?Ni kweli sijui S/Korea ilikotoka ila najua kusonga ugaliView attachment 1589567
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumba tupu unazotoa hapa; je bado unataka kuendelea kujadiliana na mimi kwenye mada hii?Ni kweli sijui S/Korea ilikotoka ila najua kusonga ugaliView attachment 1589567
Zigeuze ziwe Pumbu tupu.Pumba tupu unazotoa hapa; je bado unataka kuendelea kujadiliana na mimi kwenye mada hii?
Kwa uchaguzi wako wa maneno, basi umeshinda; nakupa kombe hiliZigeuze ziwe Pumbu tupu.View attachment 1589571
Zero fuc.k given mremboKwa uchaguzi wako wa maneno, basi umeshinda; nakupa kombe hili
View attachment 1589573
Hana Lolote kafiri tu muuaji mkubwaNi kwa vile hujui South Korea ya leo ilitokana na kiongozi wa aina gani; unaweza kuwa unafurahia sana kutumia Samsung au Kia lakini hujui chimbuko lake.
Raisi wetu ni mirembe caseKusema " maendeleo hayana chama" na hapo hapo unasema " msiponichagulia diwani, mbunge na raisi wa ccm, sitawaletea maendeleo" ni kutoa kauli mbili zinazopingana! Ni wagonjwa wa akili na wenye mtindio wa ubongo watakaoshindwa kuelewa ujinga huo wa kibaguzi dhahili!
Pesa zote za viwanda kachukua anazitumia kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi wapinzaniHana vision yoyote anapuyanga tu, mtu mwenye vision anao uwezo mkubwa wa ku persist kwenye visions zake katikati ya kelelele za kumkosoa, kitu ambacho Magufuli anakikosa. Ukimkosoa anaamini kuwa hata kifo ni hali yako, mtu wa namna hiyo ni nani zaidi ya dictator?
By the way, miaka 5 iliyo pita alikuwa anaimba viwanda, sasa hivi viko wapi? ....hata kuviongelea hamna, alafu mnasema ni kiongozi visionary?. Magufuli HAFAI, HAFAIIIIIII.
Korea hawana kumbambikia kesi kesi hawapendi vyesi vyesi kama mtukufu magufuliNi kwa vile hujui South Korea ya leo ilitokana na kiongozi wa aina gani; unaweza kuwa unafurahia sana kutumia Samsung au Kia lakini hujui chimbuko lake.
Nchi inazidi kuwa masikini wawekezaji wanakimbia utitiri wa kodi za TRA zisizo na mpangilio wala tija, Mabenk hayaaminiki pesa za wafanyabiashara wakubwa zinaporwa kienyeji kwa njia haramu za kishetani, hakuna mfanyabiashara anaishi kwa Amani wengi wamefungua A/c Nchi jirani ili kuishi kwa Amani na pesa zaoHana Lolote kafiri tu muuaji mkubwa
Miaka mi5
Ameua wangapi
Amefilisi wangapi
Amejeruhi wangapi
Balaa huyu kafiri magufuli
Kibaya kuliko vyote anazuia watanzania waliopo nje ya Nchi kutuma pesa Tanzania, Ukitumiwa pesa nyingi BOT wanaizuia na kuipora anaichukua yote, watanzania wengi wamefungua A/C Uganda na kenya ambapo hawana ujinga huo unatumiwa pesa yeyote toka nje hakuna wa kukuuliza swaliMagufuli hana uwezo wa kuona mbele hata kwa mwezi mmoja tu. Mfano wakati anakwiba mapesa kwenye hizi provident funds zetu hakujua kuwa kuna wataostaafu mwezi unaofuata
Hujui Korea ilikotoka!Korea hawana kumbambikia kesi kesi hawapendi vyesi vyesi kama mtukufu magufuli
Daaah mimi mwenyewe kuna watu walitaka kunidhamini kuwekeza kitu kikubwa tu lakini tulipogundua ushamba wa huyu mzee ikabidi kusitisha. Nafikiria hata mimi kufungua acc nchi jiraniKibaya kuliko vyote anazuia watanzania waliopo nje ya Nchi kutuma pesa Tanzania, Ukitumiwa pesa nyingi BOT wanaizuia na kuipora anaichukua yote, watanzania wengi wamefungua A/C Uganda na kenya ambapo hawana ujinga huo unatumiwa pesa yeyote toka nje hakuna wa kukuuliza swali
Sheria ni msumeno!Wafanyabiashara wengi wamekimbilia Dubai Nchi jirani maana kuna usumbufu mwingi Nchini ikiwemo utitiri wa kodi
Wewe ni mkongwe lakini mweupe kabisa. Ni vision gani aliyonayo? Umeshawahi kujiuliza vyanzo vikuu vya mapato vya katika awamu hii ya kwanza ni vipi na je hali itakuwaje katika awamu yake ya pili? Huyu katurudisha square zero mi naona. Tunataka KATIBA mpya itakayotoa fursa kwa wananchi kufanya maamuzi yao sio kwa wanasiasa.Kukusaidia kueleza ulichosema kwa maneno rahisi ya wenzetu ni kuwa Magufuli ni mgombea Visionary wakati Lissu ni mgombea Myopic. Sasa ni swala la kuchagua kama unataka visionary leader au myopic leader