Uchaguzi 2020 Magufuli anaiona Tanzania nzuri miaka 30 ijayo, shida wengi tuna njaa

Pumba tupu unazotoa hapa; je bado unataka kuendelea kujadiliana na mimi kwenye mada hii?
hapa unapoteza tu mda, hawa jamaa hawaelewagi wanaongea nn! nakushauri kafanye tu shuhuli zingine za maendeleo hawa jamaa ni chama kizima ndo akili zao zpo ivo
 
hapa unapoteza tu mda, hawa jamaa hawaelewagi wanaongea nn! nakushauri kafanye tu shuhuli zingine za maendeleo hawa jamaa ni chama kizima ndo akili zao zpo ivo

Asante sana kwa comment hii; mimi huwa ninaweka comment zangu wakati niko mapumzikoni tu, nawajuwa alivyo kiakili.
 
Wa-Tanzania mulitaka Demokrasia ya vyama vingi pasipo na kujiandaa kuwa hayo yatakayo tokea Mambo ya Demokrasia ya Vyama vingi. Matokeo yake ndio hayo mnayo yaona kila kiongozi wa chama anatetea maslahi ya chama chake. Hayo ndio matatizo ya Demokrasia ya vyama vingi.


 
Usitulete umaku mkapumzike nae tumechoka maisha ya kichoko sisi wanyonge ni yeye 2020
 
 
Kwa hizo stand za mabasi ambazo zimesha anzankuchakaa.

I think mtu aliye kua anaiweka Tanzania mahai salama ni JK na Mkapa

1. Waliboresha utawala na taasisi .

2. Walikubali kukosolewa na kufuata sheria ( mfano mkapa kipindi cha pili alipata 61% )

3. Waliamini katika mipango ya muda mrefu kwa utaratibu..

4. Walidhamini mawazo ya watu wengine ..


Leo hii taasisi zimekosa nafasi, mtu mmoja ndio mahakama, police, wakala, tamisemi, jeshi etc.

Hivi vitu kama ndege , meli etc havidumu ila utawala bora ungeweza kutupa matokeo bora zaidi.

Eti daraja la ubungo linafanya Tanzania kuwa ulaya? Ujinga.. bapo bagamoyo tuu jirani wananchi wanakunywa matope.
 
Asante sana kwa comment hii; mimi huwa ninaweka comment zangu wakati niko mapumzikoni tu, nawajuwa alivyo kiakili.

apo sawa maaana usije poteza mda wakati una shuhuli zingine za kufanya! hawa jamaa ni kama konyagi ipo kwenye ilani yao maaana kuanzia lissu mpaka hawa wanawake wa paraise and worship team kwenye forum pumba ni zile zile
 
Ukiwa na njaa leo unaanza kufikiria utafikaje huko mbele 30 Yrs to come?
 
Mwalimu alionesha mfano kwa kujipunguzia mshahara wake kwa asilimia 20 , huyo mwenye maono unayemsema aliwaambia anaowaita wanyonge anapokea 9M kwa mwezi bila kutaja posho pia kila huduma inalipiwa juu yake kwa kodi za watu ajabu akawambia wasilalamike hata yeye hiyo 9M haimtoshi! Sasa mtoa mada unahitaji nini kuelewa hapo ni hadaa tu?
 
Tanzania ipi hiyo ya kuishi kwa wasiwasi bwana!! tushachoka na tumeshaamua tayari...!!
 
Kweli kabisa, naunga mkono hoja
 
Una matatizo
 
Unasema tusubiri miaka 30 ijayo ili Airport chato ianze kupata wateja!!!!
 

Nakuunga mkono. Ni hatari pia kuwa na mgombea wa maono ya muda mfupi kwani kitakachotokea ni kwamba kila siku ni kama mnaanza upya. Mataifa yaliyoendelea yalipata wenye maono ya masafa marefu, wakazifikisha nchi zao hapo walipo.
 
Ulitaka tufike huko kwakufuswaumu isiyokuwa na manuwizi tuendelee kuona yeye nafamilia yake wakipeana ajira watoto zetu nanduguzetu mkono shavuni waondio wasomi pekeyao?
 
Tunataka lisu awe raisi mwenyewe. Siyo huyu jamaa hatufai!
 
Hata kufuta upinzani nayo ni maono yake. Matendo ya engua engua na hujuma ni njia ya kuelekea huko.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo siyo njaa ni uongozi wake 'a country is not a company' we do not need regime uncertanity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…