Magufuli angekuwepo sio tu vitu vingepanda bei, vingeadimika kabisa

Huu Mzimu wa Magufuli unatesa sana hawa Bavicha sijui Bawacha.
Wanakaugonjwa unao itwa MagufuliFever.

Mtu alishazikwa lakini still mpaka leo anajadiliwa.
What means...???
 
Mpaka anajadiliwa na wakati kasha kufa ujue alikua mwamba kweli na ukiona wanyonge ndio walikuwa wanampenda jiulize mara mbili mbili maana hao ndio wanajua wanacho kihitaji kutoka kwa viongozi na sio mawazo yako ndio yasababishe tumchukie au tuone hakufanya la maana lolote kwa wananchi endeleeni tu kula asali ya taifa inayo tokana na nguvu ya hao wanyonge

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huu Mzimu wa Magufuli unatesa sana hawa Bavicha sijui Bawacha.
Wanakaugonjwa unao itwa MagufuliFever.

Mtu alishazikwa lakini still mpaka leo anajadiliwa.
What means...???
Magufuli hata CCM wenyewe wanamuona kichaa, nyie wanyonge msiokuwa na akili ndio mnamuona wa maana
 
Magufuli hata CCM wenyewe wanamuona kichaa, nyie wanyonge msiokuwa na akili ndio mnamuona wa maana
Aaaah alijua kutufurahisha maana hatukuchoka kufwatilia taarifa ya habari.
Kuhusu wafanyakazi hewa na Wapigaji wa madini.
Sio hawa wa asaivi hatuji chochote zaidi ya Toz kama mapato yenu serikalini
 
Ni ajira zipi na ngapi zilizozaliwa kipindi cha Magufuri? Siyo kwamba ukikosoa upupumbavu wa Magufuri ni dalili ya kutokufikiria vizuri,la hasha acha wanaoona kuwa Magufuri alikuwa mtendaji mzuri wamsifie na kumlilia na wale walioathirika na utawala wake mbovu wakosoe kwa namna wanavyoweza na kufarijika maana wamepata ukombozi,kila mtu acheze gemu zake.
 
Jpm Kwenye utawala wake kumekuwepo na changamoto za hapa na pale na jitihada za kushughulikia zilionekana.

Basi kwa utawala wa mama tungependa kuona jitihada za kushughulikia changamoto mbalimbali zinazojitokeza l.
Ametuliza hali ya siasa nchini na kuweka mifumo imara kwenye taasisi mbalimbali.
 
Uko vizuri sana ubarikiwe ila wajinga na wapumbavu hawaamini katika hayo uliyowaelezea.
 
Ni sukari sio sukali, vipi mbaazi, Tumbaku, rambirambi za tetemeko, rambirambi za ajali ziwa victoria, mafao ya wastaafu, riba za mikopo elimu ya juu, kukataza watu wasichukue mafao yao kabla ya kutaafu, na mambo mengine kibao.

Magu alikuwa raisi wa vitu na sio watu, asingetoa hata sh 10 kufinance inflation.
 
Wanyonge wa Chato na sukuma gang.
 
Yule mzee hakufaa kuwa Rais wa hii Nchi kabisa, alikuwa mweupe kichwani kiuchumi, alichokuwa kajaliwa Ni roho mbaya na chuki
 
Kwa watetezi wa Magufuli najua mna hisia kali sana, lakini hebu jaribuni kujibu hoja kwa hoja, sio matusi

Hebu niambieni ni mambo gani Magufuli angefanya au alishafanya ambayo yangeshusha bei za vitu
Tuongee ya sasa, achana na dhana.
 
Najua Uzi Huu umeletwa maksudi
lkn nijibu kwa Hoja tuu

Mzalendo wa kweli JPM kama aliweza kukontrol Corana Iliyowasumbu hata hao wanajifanya wanajua technologia (MABEBERU) hata hichi kidogo angeweza vizri tuu na tusingefikia kwenye matozo,mabei ya ajabu ya sukari na bidhaa muhimu,
Na kila nchi ina utaratibu wake wa kiuchumi ,mfano leo mahindi gunia ni Tsh 200k lkn JPM angekuwepo hizi zoote tusingeona maana angezuia mahindi kuuzwa njee na tungekuwa na chakula cha kutosha,

kama ambavyo umesema tunajibu hoja kwa hoja ,nawe nijibu ,matusi sitakii
 
Lakini baadaye Corona ikammaliza kilaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…