Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

karibu THE BIG SHOW, hapa najiuliza umeongea hivi wakati mkurugenzi ni wa imani hii, je angekuwa ni wa imani ile nyingine sijuhi ungesemaje! Niliacha kukuamini baada ya kuona umetupa slogan I ya "gas haitoki hata kawa mrija wa pen" na kuhamia kwenye "jihad" mjinga sana wewe, ulitutelekeza watu wa Mtwara baada ya kututia hamasa.
 
Kazi kwelikweli.
 
WAPO WENGINE WANAOCHANGIA UMEME KUPANDA KWA SABABU FEDHA NYINGI YA SERIKALI INAIBWA TU. TUNAOMBA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA ZICHUNGUZE UBADHIRIFU NA WIZI ULIOFANYIKA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA. INAWEZEKANA WANAOHUSIKA HAWAFAHAMU CHUO HICHO NI CHA NANI. CHUO HICHO NI MALI YA SERIKALI 100%. CHOCHOTE CHA CHUO KIKIIBIWA NI MALI YA UMMA IMEIBIWA. VYOMBO VYA UCHUNGUZI VIFIKE KUFANYA UCHUNGUZI, KUNA MAMBO MAZITO KATIKA CHUO HICHO. WATENDAJI WENGI WA UMMA WAMESHATUMBULIWA MPAKA SASA, NI VIZURI KILA MWENYE MATATIZO ATUMBULIWE, MAANA HAKUNA NJIA NYINGINE KWAKWELI.
 
kwani bado wapo
 
Teh teh teh

Mkuu Wanyisanzu ndiyo watu wa wapi hao?

Teh teh teh...huko huko kanda ya ziwa wanakokula neema ya Juma Poor Manager nin?
Hata sisi wa makabila yafuatayo ya kanda ya ziwa hatupo serikalini. Wakara wasumbwi wakwaya wasweta wasimbiti na hata shemeji zetu wakonongo wa kule mlele hawamo.
 

Hapo ametenguliwa kazi ya ukurugenzi tu na marupupu yake mshahara unabaki ule ule ataenda kupangiwa kazi nyingine mara nyingi wanaenda kukaa wizarani ili asiwe kikwazo kwa mteuliwa mpya maana bado ni watumishi wa umma labda kama angekuwa kaiba then ndio afukuzwe na utumishi wa umma pia. wote wako mtaani wanakula bata maana hata huko wizarani wanakorudishwa kila dawati lina mwenyewe , kwa ufupi ni hasara kwa taifa.
 
Hizo kazi hua ni za mkataba na sio permanent and pensionable, mkqtaba ukiisha au ukisitishwa anatafta kazi nyingine. Kazi zote za ukurugenzi wa mashirika ya umma sio parmanent
 
Kazi ya ukurugenzi ni kazi za mkataba wa muda maalum na sio permanent and pensionable, mkataba ukiisha au ukikatishwa huyo mkurugenzi analipwa stahiki zake anachapa lapa.
 
Tatizo la umeme TZ ni monopoly waliyopewa TANESCO,in Tanzania huwezi kuzalisha na kuuza umeme moja kwa moja kwenye soko ni lazima uwauzie TANESCO then wao ndio wauze,TZ kuna gas nyingi sana haitakiwi iwe na tatizo la umeme kabisa shida ni sheria zilizopo,hakuna businessman/woman anaweza weka billions zake then ata the end of the day lazima uwapigie magoti TANESCO
 
Kwani mmesahau zile sherehe waliachwa wakachukua posho za safari wakaweka magari mafuta na kusafiri ilipofika usiku tukatangaziwa sherehe hakuna na waliochukuwa posho wazirudishe tuko kwenye mwendo KASI
Duh! Kweli aisee ili mradi tu ionekane Mheshimiwa "amezuia matumizi yasiyo na lazima!"
 
Dah jamaa kaanza mwaka vibaya, kaweka rekodi ya kutumbuliwa siku ya mwaka mpya. Kwanza ilikuwaje atake kupandisha bei ya umeme wakati uzalishaji wa gesi ndio unaongezeka na umeme uzalishaji unaongezeka
Atakuwa kafurahi sana huyu jamaa kuachana na kero,km yule jamaa wa magereza.
 
HAHAHA UMeNIFURAHISHA KWELIII..
UNAJUA KUNA WACHEZAJI CHELSEA WANA DEGREE ZAO NZURI NA WANACHEZA MPIRA SAFIKABISA BILA KUWA NA DEGREE YA MICHEZO

ONDOENI AKILI HIZO ATUTAFIKA
Acha bhana... yaani hapo ndipo ulipofikia! Kulinganisha kucheza soka na kuendesha shirika kubwa lenye changamoto lukuki kila kona! Yaani unaamini kabisa kwamba mfano wako unaswihi?!
 
We bhana wee! Yaani tena ukizoea sana hili jukwaa la siasa unaweza zeeka siku za zako manake ni full ni masarakasi!!!
Kabisaa heri nirudi kule kwetu celebrities tuuu
 

Maneno kuntu hayo! Umenena vema Kabisa ! Watu wengi wamekuwa wakijiuliza hivyo coz hilo swala la kupandisha bei ya Umeme limeanza kusemwa Kwa muda mrefu sasa kupitia vyombo vya Habari , sasa Kwa nini Waziri asingemwita Yule CEO wa Tanesco Na kujadili kisha kumpa maelekezo ? Mwisho wa Siku Watu wengine ndo huchukulia Kama ni namna ya kutafuta kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…