Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina nani wataisha?Nimeamini, mtaisha nyote!
Hivi kosa ni nini?
Pendekezo ni kosa? Kupendekeza! Si unamkatalia!Kapeleka pendekezo la kuongeza bei ya Umeme ewura kwa 18% kutoka ya sasa ila ewura wao wakasema bei itapanda kwa 8.5% tu
Kapandisha bei ya umeme ngoja tuone kama bei itashuka.Hivi kosa ni nini?
"Unauliza kabila la mtu la nini? Unataka kutambika?"Nonsense
Ningelikuwa mimi ningelondoa vitu vyangu ofisini na kudai madeni yangu. Kaa standby! Kaa chonjo saa mbaya.Magu, umebakiwa na kazi moja tu katika tumbua jipu...
Sasa ifuate zamu ya mkurugenzi mkuu wa DAWASCO.. Inahitajika damu mpya pale ili shirika liweze kusonga mbele...
Suala zima hapa ni tubadilike na Rais amekuwa akituma ujumbe kwa njia hiyo ila naona hatutaki kubadilika...Teua tengua, tengua teua.