Shemtibuko
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 728
- 1,014
Duh huu mwaka utakua na mitumbuo mingi sana.. Ngoja tusubiri ila hii ya Tanesco ilikua kwenye target tangu wakati wa kampeni basi tu jamaa hakuinamisha kichwa kupisha kimbunga, hatimae kimemzoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upuuzi.safi magufuli mramba alikuwa anapwaya sana
huwezi gawa unit 700 bure bure kwa shirika linalopata hasara...
Mchawi wa Tanesco ni Tanesco mwenyewe... Magufuli Hajaliona hili?
mramba ni jipu kubwa sana
Kwa mwendo huu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kitachuja.
Wataalam wote wakongwe wanateuliwa [emoji30] [emoji30]
Huoni kama serikali ya awamu ya 5 kuna tatizo la flow of information kati ya watendaji wa serikali hasa wakurugenzi wa mashirika na mawaziri/RaisiMkuu, kheri ya Mwaka Mpya.
Mramba hajaonewa ila naona huna facts kuhusu khasa kilichomtoa hapo Tanesco.
Inawezekana likawa ni suala la EWURA au pia tangu mwezi may alipoagizwa asitishe mazungumzo na Symbion kuhusu PPA (power production agreement) na serikali.
Lakini pia inawezekana na gharama kubwa ambazo Tanesco inalipa kwa IPP independent power producers.
Utakumbuka hotuba ya bajeti ya profesa Muhongo bungeni mwezi Juni alisema kwamba serikali ipo kwenye mchakato wa kuondokana na IPPs kwa kuwa sasa tuna hata gesi kutoka Mtwara.
Mramba ameagizwa na serikali kuangalia mikataba ambayo Tanesco ilisaini na hawa IPPs na khasa ule wa Symbion ambao wanalipwa kiasi cha dola bilioni 5 kwa mwezi kwa kuwauzia umeme Tanesco kwenye mikoa ya Dar, Arusha na Dodoma.
Jambo baya kabisa kuhusu huu mkataba wa PPA ni kwamba iwe umeme upo au hakuna lazima Tanesco wawalipe Symbion kasi hicho cha fedha kila mwezi.
Na tatizo Mramba alisaini mkataba huo harakaharaka kabla ya raisi JPM kuingia, hivyo unategemea nini hapo?
Unapopewa maagizo na serikali khasa yenye kuhusu maslahi ya taifa (siyo maslahi binafsi) unatakiwa kuwa mwangalifu.
Mbona mnamtamani sana huyu wa EWURA.EWURA kaponaje ponaje katika hili?
acha roho mbaya mkuu!! ina maana umeshindwa kumpa huyo jamaa hata malimao tuu?Kwa hiyo tukusaidiaje sasa labda?
Nimekuelewa sana,hizo ni athari za maamuzi mlipukoKwa ufupi anachokifanya huyu Juma Poor Manager ni kuharibu na kuboronga tuh
Let say he is right kachukizwa na maamuz ya kupandishwa kwa bei ya umeme ni obvious kwamba Mramba hawez kufanya hivyo bila baraka ya bodi..sasa anaiachaje bodi na kumuondoa mramba.
Pili shirika kama Tanesco linahitaji taaluma ya uendeshaji na siyo kuchukua intruder ambae hata hafaham na hana taaluma hiyo na wala hana experience ya uendeshaji
Mfano Dr Idrisa Rashid ilimchukua muda sana hadi kuja kumaster challanges na kusonga mbele
Wapo watu hapo Tanesco wenye uwezo mkubwa tuh kama Engineer Nazir Kachwamba...Engineer Deklan Mhaiki...na kadhalika ambao may be wangeweza kumrith mramba
Sasa kukimbilia kufanya maamuz ya mlipuko kama hayo ni kutuaminisha kwamba kuna watu wake alishawaandaa na anawatafutia kazi...ma kututhibitishia kwamba katika awamu hii wachaga na waislam ni watu wa kuogopwa kama ukoma
Mkuu,ni kweli znanyesha?
Kama tatizo ni bei ya umeme huwezi kutumbua tanesco ukaacha ewura labda kama ni sababu zingine ambazo hatuzijuiMbona mnamtamani sana huyu wa EWURA.
Daah,hongereni mkuu..Mkuu leo ni siku ya tatu ikiwa inanyesha, na leo imenyesha kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 11 jioni. Na tena ni mvua ya nguvu.
Ni jambo la kheri kwa watu wa kipata cha chini heko Raisi JMPUamzi mzuri sana huu
Alicho Fanya JP ndivyo inavyo takiwa walio baki wajihadhari na maamuzi ya kilevi hawajamuelewa magufuli, anacho taka magufuli wewe kama kiongozi kila dakika ubuni mbinu za kumpa faraja mtu wa chini sio kumzidishia mzigo.Hilo ni kosa? Huyu mtu na maaskofu wake watahukumiwa!