mtumweusi
Senior Member
- Dec 11, 2015
- 148
- 147
Mkuu usipaniki tulia uandike vyemaSafari hii hata ndao zitatumbuliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usipaniki tulia uandike vyemaSafari hii hata ndao zitatumbuliwa.
Watu wanahitaji kufatilia vitu.. la sivyo hili jukwaa litakuwa kama fb.. asante kwa ufanunuzi mzurimkuu ungeuliza kwanza huo uamuzi sio wa mramba ni baada ya kamati ya majadiliano kati ya wafanyakazi kupitia tuico na bodi then wizara ikathibitisha so uamuzi wa unit 700 sio wa mramba
Duhhh
huyu Mramba kauanza mwaka vibaya sana aisee
Leo 1.1.2017 Prof. Muhongo amehojiwa na Radio One na kueleza sababu za kusitisha mpango wa EWURA wa kupandisha bei ya Umeme kwa 8.5% kama ifuatavyo: -Sasa kama hilo ongezeko lilikuwa linaongeza ubora wa huduma, je njia mbadala itakuwa ni ipi ya kupata fedha ili kufikia huduma bora iliyolengwa? Itakuwa sawa kutoongeza bei ya umeme kama isingesaidia kwa namna yoyote kuongeza ubora.
Unafahamu ulichokiandika au unajamba tu? Hakuna badiriko lolote ls airtime kwenye vocha unayonunuwa zaidi ukiingiza kuonesha statement ya vat ambayo zamani kampuni za simu walikuwa wanakula wao.Nadhani labda ni kutangaza hadharani kwa wananchi kuwa umeme utapanda.
Nadhani kupanda umeme utapanda tu ila kimya kimya.
Kama ilivyokuwa kwenye Suala la kukatwa VAT 18% wakati wa kuweka vocha kwenye mitandao ya simu.
Serikali ilikanusha sana kuwa 18 % haitamuhusu mtumiaji simu lakini ilianza kukatwa kimya kimya.
Naamini unamaanisha makamanda.JK anawasilimia makanda anasema yeye yupo kawamiss sana.
It was staged na sarakasi nyingi na walijua tu watamfukuza. Umeme utapanda bei tuu, si tupo humu JF.
God bless you Injinia
It was staged na sarakasi nyingi na walijua tu watamfukuza. Umeme utapanda bei tuu, si tupo humu JF.
God bless you Injinia
Tuanze na hilo gas... je, TANESCO nafasi yao ni ipi linapokuja suala la matumizi ya gas? Ni kwamba hawataki tu kutumia gas kwavile they're incompetent, au kivipi?Mkuu, Kheri ya mwaka mpya.
Umeme hauwezi kupanda.
Kwanini gharama za umeme ziwe juu wakati kuna gesi vyanzi vingine ambavyo sasa hivi vimejaa maji kama kule Ruvu?
Unakumbuka raisi JPM alisema kule Ruvu kuna watu walikuwa wakipunguza kina cha maji kwa makusudi?
Hivi mnafikiri raisi JPM hafahamu mambo yalokuwa yakifanywa na mtandao wa mafisadi katika nchi hii?
Uzuri wake tumeshawaelewa!Miezi mitatu mingi mkuu.
Tuanze na hilo gas... je, TANESCO nafasi yao ni ipi linapokuja suala la matumizi ya gas? Ni kwamba hawataki tu kutumia gas kwavile they're incompetent, au kivipi?
By the way, hivi unaamini kabisa kwamba as of now Tanzania tuna umeme wa kutosha? Hivi unaamini kabisa kwamba tuna surplus ya umeme?!
Unless you prove otherwise, ninachoamini na ndicho kilichopo ni kwamba bado tuna energy deficit. Kama ndivyo; hivi umeshajiuliza nini kinaweza kutokea endapo matumizi ya umeme yanaongezeka japo kwa 5%? And tell you what... umeme hautoshi wakati watu wanaogopa kutumia majiko na mabirika ya umeme! Ukitaka kugombana na wapangaji wenzako wakugundue kwamba unatumia jiko la umeme!!!
Be informed kwamba wakati mwingine bei inaongezwa just ku-balance matumizi ya umeme! Hata kama ulikuwa unatumia LUKU ya peke yako; bei ya umeme iki-shoot; wala hakuna atakayekuambia rudisha jiko lako la umeme store... wewe mwenyewe ndie utalipeleka store na kutafuta alternatives!
Kwahiyo bei haitapanda only if everything will remain constant or else; it's inevitable unless we want to play politics!!!
Ninachohitaji kujua, deni la Tanesco linatokana na nini? Wakilidhibiti hilo umeme hautapanda.Mkuu, Kheri ya mwaka mpya.
Umeme hauwezi kupanda.
Kwanini gharama za umeme ziwe juu wakati kuna gesi vyanzi vingine ambavyo sasa hivi vimejaa maji kama kule Ruvu?
Unakumbuka raisi JPM alisema kule Ruvu kuna watu walikuwa wakipunguza kina cha maji kwa makusudi?
Hivi mnafikiri raisi JPM hafahamu mambo yalokuwa yakifanywa na mtandao wa mafisadi katika nchi hii?
Ninachohitaji kujua, deni la Tanesco linatokana na nini? Wakilidhibiti hilo umeme hautapanda.
Asante mkuu. Kadiri ya maelezo yako umeme bado utakuwa hautoshi hasa kama tume address mahitaji ya sasa na siyo ya miaka mitatu mbele. Na deni pia litaendelea kukua. Ng'ombe wa maskini hazai.Tanesco ina madeni mawili,
La kwanza ni hili la Symbion ambalo Tanesco kwa makusudi kabisa walidharau maagizo ya wizara (siyo chini ya Muhongo) pamoja na pengine huko juu na kuendelea kusaini mkataba ambao ni wa miaka 20.
Mkataba huu unaitaka Tanesco kuendelea kuilipa fedha Symbion kila mwezi bila kujali kama Symbion wanazalisha umeme au hawazalishi.
Deni la pili la IPTL na zile fedha za Escrow ambazo zililiwa na mafisadi.
Tanesco hadi sasa inatumia kiasi cha shilingi bilioni 36 kwa mwezi au dola bilioni 16.76 kuwalipa hawa Symbion na wazalishaji wengine.
Symbion peke yao wanalipwa shilingi bilioni karibu 5 kila mwezi kwa kuwazalishia umeme Tanesco kupitia mitambo yake ya Dar-es-Salaa, Dodoma na Arusha.
Lakini kwa kuwa sasa ule mtambo wa Kinyerezi umekamilika ujenzi wake na una uwezo wa kutoa kiasi cha megawatts 150 utakuwa ukitumia gesi ya kutoka Mtwara na kuzalisha umeme ambao utaingizwa kwenye national Grid.
Tanzania inatakiwa kuzalisha umeme kiasi cha 1,226MW ambao unatakiwa kuwahudumia wananchi wote milioni 47
Halafu kuna 82MW zinazozalishwa na vituo kama Kidatu na vingine.
Tanesco ina madeni mawili,
La kwanza ni hili la Symbion ambalo Tanesco kwa makusudi kabisa walidgarau maagizo ya wizara (siyo cini ya Muhongo) na kuendea kusaini mkataba ambao ni wa miama 20.
Mkataba huu unaitaka Tanesco kuendelea kuilipa fedha Symbion kila mwezi bila kujali kama Symbion wanazalisha umeme au hawazalishi.
Deni la pili la IPTL na zile fedha za Escrow ambazo zililiwa na mafisadi.
Tanesco hadi sasa inatumia kiasi cha shilingi bilioni 36 kwa mwezi au dola bilioni 16.76 kuwalipa hawa Symbion na wazalishaji wengine.
Symbion peke yao wanalipwa shilingi bilioni karibu 5 kila mwezi kwa kuwazalishia umeme Tanesco kupitia mitambo yake ya Dar-es-Salaa, Dodoma na Arusha.
Lakini kwa kuwa sasa ule mtambo wa Kinyerezi umekamilika ujenzi wake na una uwezo wa kutoa kiasi cha megawatts 150 utakuwa ukitumia gesi ya kutoka Mtwara na kuzalisha umeme ambao utaingizwa kwenye national Grid.
Tanzania inazalisha umeme kiasi cha 1,226MW ambao utawasaidia wananchi wote milioni 47
Halafu kuna 82MW zinazozalishwa na vituo kama Kidatu na vingine.