peke peke
Member
- Jan 4, 2014
- 63
- 22
Uchochez huoSasa hawa wahadhiri mbona wanaisha pale UDSM😵😵😵
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchochez huoSasa hawa wahadhiri mbona wanaisha pale UDSM😵😵😵
MchagaHivi kosa ndio hilo la kuiomba EWURA ipandishe bei ili kuweza kujiendesha?au kuna mengine?
Hivi ndg akija mtu mwenye njaa akaleta ombi LA kupewa chakula na wewe ukampa hicho chakula ambacho nilikua cha watoto, Je hapo nani mwenye makosa? Je ni mwenye njaa aliye kuja kuomba au ni yule aliyetoa?
Naunga mkono hojaMchaga
Kwanini unafikiri kujua level yangu ya elimu itakusaidia wewe kunijibu hilo swali nililokuuliza?Sioni kosa mtu kutoa proposal! You can reject his proposal and move on! Nambie kosa ni lipi? Anyway, sijui nabishana na mtu wa namna gani education-wise!
Kwanza niseme jambo moja!!Mkuu, EURA walitakiwa warudishe maombi hayo ya Tanesco mpaka ufafanuzi na makubalino na waziri Muhongo yatakapotokea.
Mramba alipaswa kumshauri waziri (ambae tayari walikuwa hawaivi kutokana na kauli yake kule bungeni kuhusu ufanisi mbovu wa Tanesco)
Hivyo utaratibu ni EWURA kurudisha maombi kwa Tanesco na kuwashauri wamwone waziri ambae ana mamlaka kisheria na kikatiba kuangalia hizo bei ya umeme na kutoa maamuzi ya mwisho.
Mtizamo wako wewe juu la hili ukoje?
Kosa hana uwezo hana.!!!!!!Hivi kosa ni nini?
Tupo pamoja kwa 101%!!!Nimekupata mkuu, kama wewe ungekuwa Mangu namfahamu vizuri na ule undugu wake na Tundu Lissu.
Usikute vetting yake imepitia mezani kwangu.
Nimepiga sana biashara za ujasirimali Singida.
JF ni sebule ya majadiliano tuondoe personal issues.
😀😀😀
Very fun!!!!Mramba kabla ya hapo alikuwa nani hadi akapata uzoefu wa kuendesha shirika kama lile.
Ni suala la mda tu kujifunza....!!
Ndiyo na ww umetumwa uje na hilo aliyekuambia umeme utapanda tu ni nani pumbafu kabisaIt was staged na sarakasi nyingi na walijua tu watamfukuza. Umeme utapanda bei tuu, si tupo humu JF.
God bless you Injinia
It was staged na sarakasi nyingi na walijua tu watamfukuza. Umeme utapanda bei tuu, si tupo humu JF.
God bless you Injinia
Ndo yaleyale ya kuamini Ryoba anaweza kuibadili TBC kwa sababu ya kuwa mwalimu wa waandishi wa habari, leo TBC ni absolute toilet kuliko alivyo Magufuli!Ila kuna jambo hapa ambalo sijaelewa... naomba wajuvi wanijuze! Hivi unachomoa vipi Mwalimu wa Chuo kuwa Managing Director wa shirika lenye changamoto lukuki?! Hivi PhD inaweza ku-solve changamoto za TANESCO pasipo na kuwa na uelewa kwa mapana na marefu ya changamoto za TANESCO na energy sector kwa ujumla?! Au Mheshimiwa Daktari alitokea private/public commercial sector kabla hajawa Mhadhiri?
Chifu, do you honestly think kwamba Magufuli anapambana na mtandao wa mafisadi? How, kama anasema hawezi kufukua makaburi? Mitandao ya ufisadi karibu yote inahusiana na viongozi waliotangulia katika awamu zilizopita, akiwemo Magufuli mwenyewe!Hivi mnafikiri raisi JPM hafahamu mambo yalokuwa yakifanywa na mtandao wa mafisadi katika nchi hii?
Ah! Wapi... Mie nazeekea JF ndugu yangu kwahiyo sio rahisi kutishika kwa hoja kama hizo... no way! Hata huyo Richard mwenyewe najua he's just bluffing... hana cha kunijua wala nini!!Umemtisha sana chige kwa kueleza kuwa unamfahamu.
Unapokuwa humu jamvini inatakiwa uvumilie yote lugha kali zinatumika sana hasa na wakosoaji, kama hazinjavunja sheria za humu basi hakuna utata.
Hata mimi ni muumini wa lugha kali lakini simvunjii mtu heshima na hakuna ubaya kwenye hilo.
Kwa yanayoendelea sasa serikalini inaonekana wazi lipo tatizo tena kubwa hakuna coordination hata kidogo waziri leo anaeza sema hivi kesho katibu wa wizara akaja na kauli nyingine inayopingana na waziri.
Ni kama ishu ya Dangote mpaka rais anakuja kuingilia lakini tuliskia kauli nyingi zinazopingana kutoka kwa mawaziri.
Hata hili la kupanda kwa bei ya umeme ni hivyohivyo mei naona hii ni michezo tu ya kisiasa tena siasa chafu na hazina tija kwa maendeleo ya taifa.
Leo mnashabikia walioenjinia uozo wa tanesco, hii ni hatari!!
Hata kama utapanda lkn huu si wakati muafaka wakati sahihi ni jambo la muhimu. Nikupe mfano binti akipata mimba nje ya ndoa kwa family nyingi za kitanzania ni tatizo lkn mimba ile ikipatikana ndani ya ndoa ni chereko. Timing ni muhimu pia.It was staged na sarakasi nyingi na walijua tu watamfukuza. Umeme utapanda bei tuu, si tupo humu JF.
God bless you Injinia
Nionavyo mimi kubadilisha uongozi siyo kutatua tatizo kuna somo linaitwa Crisis management hawa viongozi wetu inabidi wapate training vinginevyo kila kukicha itakua kutumbuaHivi kosa ndio hilo la kuiomba EWURA ipandishe bei ili kuweza kujiendesha?au kuna mengine?
Utashuka lini!? Hatuwezi kusubiri mpaka 2020Umeme utashuka bei ndiyo muelekeo wa Prof Muhongo kutokana na uwepo wa gesi