Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Huko ahera Magufuli yuko bweni moja na Adolph Hitler, Mussolini, Iddi Amini na Bokassa
 
Hapa Kazi & Kasi Tu!!!

^Nani Kiboko!??? John Pombe kiboko yao!!!

^Nani Kiboko!??? John Pombe kiboko yao!!!

^Amefanya mengi, hata sisi sote tunayaona!!!^ (TOT)
Huyo mji utakuwa na mzimu wenye ile sauti inayomkosesha amani SSH!
 
Kabisa
 
hata kwa kiwanja bure ama kujengewa nyuma siwezi kuishi hiyo sehemu - hata ndugu yangu atakayeishi humo ajue mimi ya yeye undugu basi, siwezi kushiriki dhambi.
Hata mimi
 
Majizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.

Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.

Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
Ndo mana huolewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…