johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wako bize kuhudhuria ikulu kulamba asali.
Wapinzani wa Tanzania wameachiw laana na Magufuli
Wale ni wazurulaji sio viongozi wa Chadema makini.Vimesahaulikaje?. Maana juzi Viongozi wa Chadema walitaka kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa mpira.
Wako bize kuhudhuria ikulu kulamba asali.
Wapinzani wa Tanzania wameachiw laana na Magufuli
Kilichobadilika ni nini? Wameruhusiwa mikutano ya hadhara? Ni rahisi sana kubomoa kuliko kujenga. Uharibifu uliosababishwa na awamu ya tano unakaribiana kwa kiasi na mauaji ya kimbari. Ndo maana mnalalamika akisimangwa.Nyie ndo huwa sababu, nimeamini. Ukute hata wewe humpendi ila unaogopa kumtukana wewe moja kwa moja unajidai kuanzisha mada za kuudhi ili Magu atukanwe.Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga
Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao
Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila Upinzani wa Tanzania ni lege lege na dhaifu mno.
Mungu ni mwema wakati wote
Huyo ni mwezi mchanga.Vimesahaulika vipi mkuu wakati huo huo unafungua uzi kwa vyama hivyo hivyo ulivyo dai vimesahaulika?[emoji15]
Siku hizi Lisu hapati tena safari za kwenda Marekani na kuzunguka nchi za Ulaya kumlaani Magufuli. Mtaji umekufa !!Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga
Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao
Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila Upinzani wa Tanzania ni lege lege na dhaifu mno.
Mungu ni mwema wakati wote
Wale ni wazurulaji sio viongozi wa Chadema makini.
Hata FIFA haitaki Siasa kwenye Mpira. View attachment 2244688View attachment 2244689
Hivi huyo Magufuli ni baba yako mbona kila siku unamtetea wakati inajulikana wazi jinsi alivyoboronga na kufanya maovu mengi kwa wananchi wake? Angalia usije ukashiriki dhambi yake.Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga
Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao
Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila Upinzani wa Tanzania ni lege lege na dhaifu mno.
Mungu ni mwema wakati wote
Achana na huo mcheleHivi huyo Magufuli ni baba yako mbona kila siku unamtetea wakati inajulikana wazi jinsi alivyoboronga na kufanya maovu mengi kwa wananchi wake? Angalia usije ukashiriki dhambi yake.
hakuna mtu mwenye akili timamu atashabikia matendo maovu ya CCMNafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga