Uchaguzi 2020 Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule au hapendi watu wake?

Kauli za kibaguzi halafu zinatoka kwa Rais,

Anaita CCM ndio watoto wake.

Na anatamka kabisa sikuwaletea maendeleo kwa sababu mnachagua UPINZANI.

Hii inagawa wananchi Matabaka.

Ni hatari.
 
Kama aliona hawezi kuwapa haki sawa wananchi, kwa nini aliomba kuwaongoza?!.

Nimependa msg yako..
 
We una akili timamu? JPM hatishi watu kuchagua upinzani. Bali anawaeleza ukweli. Wabunge wa upinzani ni wazembe. Hawafuatilii maendeleo ya watu. Wanafanya harakati za kisiasa badala ya kusaidia wapiga kura wao. Anataka wabunge na madiwani wa Ccm ili awe anawdhibiti kama mwenyekiti wa Ccm ili wachape kazi.
 
Binafsi nakerwa zaidi na anavyojiona kwamba akitaka hawafanyii chochote.

Ni ego ya ajabu kwa Rais wa nchi.
 


👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Hii kauli magufuli anaitumia sehemuzote ambapo kuna wabunge wapinzani,na alianza kuitumia zamani sana.
Anajua asilimia mia yeye ndo atarudi kua Rais,
Sasa anatafuta kura za nini sasa?
 
ESTER BULAYA KAZINI, MABOTO KAKUSHIKA PABAYA NA YULE M*ME WAKO KULE KAWE GWAJIMA KASHIKA JIMBO KAZI MNAYO SAFARI HII.
 
Urambo mashariki, Kaliua, igalula, Tabora kaskazini, nk
 
Kauli za mgombea huyu ni za ubaguzi na uchochezi wa hali ya juu sana. Hata Rwanda walianza hivi kabla ya kutandikana.

Yaani unagoma kupeleka maendeleo sehemu flani kwa sababu walichagua upinzani? Vitu vingine ni bora kutokuvisema hadharani
Na anatamka waziwazi kabisa kwa ego,

Ana chuki ya nini huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…