Uchaguzi 2020 Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule au hapendi watu wake?

Siku moja akaja kwenye kikao akaulizwa unatoa kiasi gani kuinua hili eneo, alichodai kuwa yeye ni mwananchi wa kawaida hivyo atatoa kama wengine......


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Bongo ni maigizo kila idara

Pumbavu kbs hawa
 
Siku moja akaja kwenye kikao akaulizwa unatoa kiasi gani kuinua hili eneo, alichodai kuwa yeye ni mwananchi wa kawaida hivyo atatoa kama wengine......


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Bongo ni maigizo kila idara

Pumbavu kbs hawa
 
Nachelea kukosea.
Huu mpango wa maendeleo ya nchi nzima inaonekana kama kuna mahala nyeti ambapo kuna orodha nzima kuhusu maendeleo nikiwa namaanisha wamepanga kuboresha kila mahala ila kwa mpango maalum ambao upo kwenye hiyo orodha.
DMDP Dar: hii ni kampuni ambayo inahusika na kujenga miundombinu dar hawa jamaa wamepambana sana kujenga barabara za mitaa mkoani dar ingawa hawajamaliza lakini pongezi kwao.unaweza kujiuliza kwann wajenge barabara za mitaa na wakati kuna wilaya hazina barara ya lami hata moja alau ya kuunganisha wilaya na mkoa.
Je Tanzania tumeridhika na miundombinu ya mikoa na wilaya mpaka waanze kujenga barabara za mitaa dar? Jibu hapana na hapo ndo kunapokuja mawazo ya kua suala la maendeleo lipo mahala ambapo nikama mfumo wa alfabeti kwamba ikitoka A ije B C D.......
 
Mtoa mada nakukubali hakika umesema jambo kubwa sana, Magufuli kakosea sana kwa hilo.
 
Ya mwisho hapo weka Mpwapwa
 
Inaskitisha kuwa kauli za kibaguzi zinatolewa katika mkoa ama eneo ambalo mwasisi wa Taifa hili alietuunganisha kuwa wamoja Julius Kambarage Nyerere amelala ..yaani ni sawa na kupiga kelele juu ya ubaguz ukihamasisha ubaguzi juu ya kaburi ya aliepiga vita ubaguzi..Hawa viongoz kama wananchi wataona ndyoo watafaa kupewa kura basi tutakua tumelogwa hakika nawambia ndugu zanguni tutakua tumelogwa!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Wananchi wenye Akili watachagua wabunge wenye connection na chama kilichopo madarakani. Mkitaka muyasikie maendeleo redion Basi chagueni watu wa kwenda kuzila na kuziba mask bungeni.


Magufuli ni mtu wa kusema ukweli hanaga chembe chembe yeyote ya unafiki kabisa hivyo Ni jukumu la Wana bunda kuchagua aidha waendelee na hao Wahuni ambao hawana waume ama wachague kiongozi Alie Bora akawaombee maendeleo ambayo ni haki yao kupata japo siyo lazima.
 
Ni mbaguzi toka ameanza siasa
Baada ya kuapishwa alikuja Chuga ambako hakupata kura nyingi akiwa kavalia kombati za JWTZ kuonesha msiyempenda kaja....katumia miaka mitano kutunyoosha, sasa ni zamu yetu kutumia walau siku moja tu kumyoosha....tukutane October 28.
 
Kila kitu hata kama ni kizuri kikiwa too much kitakinaisha.
Kingine hana washereheshaji. Mh Majaliwa na Mama Samia wako very cold. Polepole hana bashasha kwenye kuongea. Yeye Mh Rais anaweza kuwa charming lakini tatizo hakai kwenye script, ni sekunde moja tu anatoka nje ya script.

Ili kunusuru hizi kampeni lazima awarudishe kina Mzee Makamba na Kinana, Jakaya and Co wazunguke naye.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Campaign team yake imsaidie!!This time anashindana na Mwanasheria na si mwanansheria tu lakini anayependa kusoma.Tume ya uchaguzi imsaidie ili mwishowe isipate shida
 
Ukweli ni kwamba Magufuli amepwaya mno kwenye hizi kampeni 2020.
Nilishasema huyu Jiwe anaweza akaishia njiani. Ameshaanza kuhubiri chuki badala ya kunadi sera. Kinachofuata ni matusi kisha kuanza kucheza rafu.

Jiwe siasa haziwezi na hivi sasa ataanza kujionyesha wazi kuwa hana asili ya Tanz. Huwezi kukusanya kodo toka kwa wapiga kura kisha urudi kuwakejeli namna ile. Ataanguka jukwaani kwa jazba.
 
Hata hao unaosagesti warudishwe wanakinaisha sababu muda wao ulishapita....wasanii wenyewe hawavutii.

Mtu pekee wa kuzinusuru kampeni za Magu ni Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…