Magufuli lala kwa Amani, kazi tunaiona kabla hata ya mwaka nusu

Hiyo mifumo kwa nchi yetu ni migumu wala haitosaidia chochote kwa kuwa kila raisi aingie ana madaraka makubwa bado anaweza akaifumua na akafanya mambo kwa utashi wake!
 
Wale mliojiaminisha miaka 30 ndiyo mnapata tabu alakini Dikteta kalala mungu aliona hili hatuwezi wenyewe akatusaidia kuondo fungu la miiba njiani,, sijawahi kuwa upande wa dikteta akiwa hai kuwa upande wake Sasa akiwa mfu Ni takuwa mnafiki sana,, ila ki uhalisia ametuingiza Chaka saana katuachia shida maana alikuwa shida pia ila kiukweli mpaka Sasa Nina furaha kuondoka kwake!!
 
Sukuma Gang, ilifia wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…