Magufuli lala kwa Amani, kazi tunaiona kabla hata ya mwaka nusu

Magufuli lala kwa Amani, kazi tunaiona kabla hata ya mwaka nusu

Muuwaji na mshirika wa utesaji na utekaji watu na mwenzie Sabaya anawezaje kulala kwa amani? Huko ni Moto tuu unamuwakia yeye anapata Mateso ya kuzimu Sabaya anateswa huku kwanza duniani.
Mungu ndie ajuaye sio wewe mwanaadamu!
 
Alale kwa amanj? Kuni zichochewe zaidi kwa mjalaaana yule na asipate amani kabisa huko aliko potelea pote...katuachia chuki kubwa ambayo ma ccm yanaienzi na yenyewe yalaaniwe... maendeleo si kitu Kama hakuna haki
Legacy ya Lisu kwa taifa ni kuolewa na Amsterdam
 
Hebu acha nongwa, mama anaupiga mwingi...anafungua uchumi na kuitangaza nchi kimataifa...unga mkono juhudi za chama
 
Back
Top Bottom