Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tumekustukia wewe tapeli wa kibakwe dodomaHapa limited tofauti na wewe mkwapuaji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekustukia wewe tapeli wa kibakwe dodomaHapa limited tofauti na wewe mkwapuaji!
Chairman anaoza segerea!Toeni hapa UPUUZI.
Afadhali WASIOJULIKANA na VIROBA VYA MAITI
COCO BEACH havipo tena.
MUNGU NI MWEMA SANA!!!
[emoji2]Labda huyu ni mfiwa wa kukodi
Leo imekula kwako wewe kibaka wa kibakweHuna mpango wowote kenge wa baharini!
Tuache ujinga kazi inauofanywa na samia ni kubwa mno,hizo safari anazofanya nje zote zina manufaa makubwa sana na nchi yetuThe best ever one man army John joseph pombe Magufuli ulale kwa amani,uliona mbali kwa kutokucheka na kima hilo lilisababisha kupewa majina mabaya ya kuudhi ila leo kazi tunaiona hata kabla ya mwezi na nusu wale watu uliokuwa ukiishi nao wamebadilika labda kikubwa ni sherehe za mwenge kwenda kuzimiwa huko chato,
Mzee baba nchi inalia kukupoteza leo hii Membe anakushambulia ukiwa haupo wala huwezi kumjibu ila atajibiwa na Mungu leo hii yule uliyemsaidia kupita bila kupingwa eti nae anataka ukaguzi kwenye mikopo,Yule askofu sijui nani yule wa chadema anakusema ulikufa kwa uviko wakati si kweli.
Mama nae anaishi mwezini kila baada ya mwezi anabeba group la watu kwenda nalo huko mwezini kwenye ziara za kutia hasara ambazo kipindi chako ulimtuma yeye,
Baba january anatuletea makampuni na ile mikataba ya kina karl peter wakati alitakiwa aelekeze nguvu bwawa la nyerere.
Huyo job uliyemuamini hata kabla ya arobaini alikugeuka na kutaka mradi wa bandari ya bagamoyo,
Mwanao pole pole bado anaendeleza mapambano lakini muda wowote atapigwa Tko,
kaka Bashiru kakurwa sijui yu wapi tulipigwa wimbi moja tu wote tukapoteana,
Soko letu la kale pale kariakoo liliungua moto linajengwa upya,ndege bado tunaendelea kuzipokea.
Lala baba kizazi kitakukumbuka daima alama uliyoiwacha haitapotea,
Itadumu milele.
NURU YA MILELE IKUANGAZIE
Msalime komredi mwalimu,komredi Mugabe,Komredi mao,komredi Mobuto,Komredi kwame,Samora,Mandela,castro,guevara na wenginio.
Tunawakumbuka daima!
Baadae mtataka ukaguzi wa safari!Tuache ujinga kazi inauofanywa na samia ni kubwa mno,hizo safari anazofanya nje zote zina manufaa makubwa sana na nchi yetu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Tatizo lako unafikiri hiyo life style yako kila mmoja anaitumia!Jamaa leo kaamua awapige watu bundle
Kwa ninavyo kujua tayari watu washaumia kwa virungu vya bundleTatizo lako unafikiri hiyo life style yako kila mmoja anaitumia!
Leo imekula kwako wewe kibaka wa kibakwe
Mtoe mobutu kwenye orodha.NURU YA MILELE IKUANGAZIE
Msalime komredi mwalimu, komredi Mugabe, Komredi mao, komredi Mobuto, Komredi kwame, Samora, Mandela, castro, guevara na wenginio.
Tunawakumbuka daima!
Pole sana kwa kuendelea kuteseka hapo kwenu koromitjeDaah sijawahi Ona binadamu dizain yako, watu wakiandika mazuri kuhusu marehemu, wewe roho huwa inakuneng’eneka mpk basi! Basi bora umeze wembe usiwe unasoma mada zinazomhusu marehemu
mwambie pia kutekana sasa hivi kumepungua na ile kesi aliyoiachaga ya kina adamoo mbowe yuko ndani - pia mshangaze kwamba Sabaya kashakula mvua 30. na kuhusu katiba mwambie msimamo wa ccm bado ni uleule kwamba si agenda yao kwa sasa, mikutano ya kisiasa bado imezuiwa, nape na yeye kashaaza kuongea ongea tena kuhusu eti deni la taifa limekuwa kubwa mno ktk utawala wako, lissu na lema bado hawajarudi tangu ulipoondoka ila january kashaula uwaziri na membe kampeleka mahakamani msiba anatakiwa amlipe billioni sita za kumkashifu..kifupi watanzana walau wana furaha kidogo kulinganisha na ulivyokuwapo.The best ever one man army John Joseph Pombe Magufuli ulale kwa amani, uliona mbali kwa kutokucheka na kima hilo lilisababisha kupewa majina mabaya ya kuudhi ila leo kazi tunaiona hata kabla ya mwezi na nusu wale watu uliokuwa ukiishi nao wamebadilika labda kikubwa ni sherehe za mwenge kwenda kuzimiwa huko chato.
Mzee baba nchi inalia kukupoteza leo hii Membe anakushambulia ukiwa haupo wala huwezi kumjibu ila atajibiwa na Mungu leo hii yule uliyemsaidia kupita bila kupingwa eti nae anataka ukaguzi kwenye mikopo, Yule askofu sijui nani yule wa Chadema anakusema ulikufa kwa uviko wakati si kweli.
Mama nae anaishi mwezini kila baada ya mwezi anabeba group la watu kwenda nalo huko mwezini kwenye ziara za kutia hasara ambazo kipindi chako ulimtuma yeye.
Baba january anatuletea makampuni na ile mikataba ya kina karl peter wakati alitakiwa aelekeze nguvu bwawa la Nyerere.
Huyo job uliyemuamini hata kabla ya arobaini alikugeuka na kutaka mradi wa bandari ya Bagamoyo.
Mwanao pole pole bado anaendeleza mapambano lakini muda wowote atapigwa Tko, kaka Bashiru kakurwa sijui yu wapi tulipigwa wimbi moja tu wote tukapoteana
Soko letu la kale pale Kariakoo liliungua moto linajengwa upya, ndege bado tunaendelea kuzipokea.
Lala baba kizazi kitakukumbuka daima alama uliyoiwacha haitapotea. Itadumu milele.
NURU YA MILELE IKUANGAZIE
Msalime komredi mwalimu, komredi Mugabe, Komredi mao, komredi Mobuto, Komredi kwame, Samora, Mandela, castro, guevara na wenginio.
Tunawakumbuka daima!
Chuma hiki 😩😩Tukisema tunaitwa sukuma gang!
Nchi huru kila mmoja yupo huru kutoa mtizamo wake!Alale kwa amanj? Kuni zichochewe zaidi kwa mjalaaana yule na asipate amani kabisa huko aliko potelea pote...katuachia chuki kubwa ambayo ma ccm yanaienzi na yenyewe yalaaniwe... maendeleo si kitu Kama hakuna haki
Mwamba!Chuma hiki [emoji30][emoji30]View attachment 2005672
Kumpata kama huyu itachukua miaka na miaka, maana wapiga dili wameisha jipangaMwamba!
Waambie Lissu na Lema warudi kama walimkimbia mbona wameng'ang'ana na kuna amani!mwambie pia kutekana sasa hivi kumepungua na ile kesi aliyoiachaga ya kina adamoo mbowe yuko ndani - pia mshangaze kwamba Sabaya kashakula mvua 30. na kuhusu katiba mwambie msimamo wa ccm bado ni uleule kwamba si agenda yao kwa sasa, mikutano ya kisiasa bado imezuiwa, nape na yeye kashaaza kuongea ongea tena kuhusu eti deni la taifa limekuwa kubwa mno ktk utawala wako, lissu na lema bado hawajarudi tangu ulipoondoka ila january kashaula uwaziri na membe kampeleka mahakamani msiba anatakiwa amlipe billioni sita za kumkashifu..kifupi watanzana walau wana furaha kidogo kulinganisha na ulivyokuwapo.
Aksante sana niombe radhi kwa wote niliowakwadha katika hiyo lugha!Mama anakwenda mwezini.
Umetumia lugha ya kejeli iliyolenga matusi. Huu siyo uungwana; unatafuta sababu ili useme umeonewa
Tujifunze kuheshimiana
Kuhusu hoja yako; Mama Samia siyo Rais pekee anayesafiri duniani na safari zake zote alizosafiri zimeleta mafanikio makubwa sana. Hakuna safari aliyosafiri isiyo na tija. Kwa nature ya majukumu ya Rais; hawezi kusafiri bila sababu ya msingi.
Kazi inafanyika na matunda ya safari yanaonekana kwa vitendo. Hakuna Rais asiyesafiri duniani.