kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #41
Wewe kikosi cha mizinga ndio maisha yako!Kwa ninavyo kujua tayari watu washaumia kwa virungu vya bundle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kikosi cha mizinga ndio maisha yako!Kwa ninavyo kujua tayari watu washaumia kwa virungu vya bundle
Hiyo kweli kabisa aihitaji darubini wala minzani kulipima!Kumpata kama huyu itachukua miaka na miaka, maana wapiga dili wameisha jipanga
Leo naona mchongo umebuuma dadeekiHapa limited tofauti na wewe mkwapuaji!
Muuwaji na mshirika wa utesaji na utekaji watu na mwenzie Sabaya anawezaje kulala kwa amani? Huko ni Moto tuu unamuwakia yeye anapata Mateso ya kuzimu Sabaya anateswa huku kwanza duniani.The best ever one man army John Joseph Pombe Magufuli ulale kwa amani, uliona mbali kwa kutokucheka na kima hilo lilisababisha kupewa majina mabaya ya kuudhi ila leo kazi tunaiona hata kabla ya mwezi na nusu wale watu uliokuwa ukiishi nao wamebadilika labda kikubwa ni sherehe za mwenge kwenda kuzimiwa huko chato.
Mzee baba nchi inalia kukupoteza leo hii Membe anakushambulia ukiwa haupo wala huwezi kumjibu ila atajibiwa na Mungu leo hii yule uliyemsaidia kupita bila kupingwa eti nae anataka ukaguzi kwenye mikopo, Yule askofu sijui nani yule wa Chadema anakusema ulikufa kwa uviko wakati si kweli.
Mama nae anaishi mwezini kila baada ya mwezi anabeba group la watu kwenda nalo huko mwezini kwenye ziara za kutia hasara ambazo kipindi chako ulimtuma yeye.
Baba january anatuletea makampuni na ile mikataba ya kina karl peter wakati alitakiwa aelekeze nguvu bwawa la Nyerere.
Huyo job uliyemuamini hata kabla ya arobaini alikugeuka na kutaka mradi wa bandari ya Bagamoyo.
Mwanao pole pole bado anaendeleza mapambano lakini muda wowote atapigwa Tko, kaka Bashiru kakurwa sijui yu wapi tulipigwa wimbi moja tu wote tukapoteana
Soko letu la kale pale Kariakoo liliungua moto linajengwa upya, ndege bado tunaendelea kuzipokea.
Lala baba kizazi kitakukumbuka daima alama uliyoiwacha haitapotea. Itadumu milele.
NURU YA MILELE IKUANGAZIE
Msalime komredi mwalimu, komredi Mugabe, Komredi mao, komredi Mobuto, Komredi kwame, Samora, Mandela, castro, guevara na wenginio.
Tunawakumbuka daima!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umekunywa chai?
Nikurushie hata ya supu mana inaonekana una maisha magumu sana kama yatima
Bora kwakoYeye alikua Bora
Kwa asiyeamini muda utaongea zaidi
Hiyo ndiyo legacy yakemazuri yake yapo.
Shida alikuwa na roho mbaya.
Kuwaweka watu jela,kuteka ,kutesa na hata kuua .haya matendo yalitokea kipindi chake.
Na ndio wamemuharibia sana.
Yupo kwa shemeji yake yaani ni ...kula ....kulalaUkitolewa dining room ni kulia na kusaga meno
Na utakuta sasa hivi wanaishi kama digidigi wacha sisi wa kojani tule maishaKutesa kwa zamu, zamu yenu imekwisha, mlipoambiwa katiba mpya mlikuwa kama mazombi kuikataa.
The best ever one man army John Joseph Pombe Magufuli ulale kwa amani, uliona mbali kwa kutokucheka na kima hilo lilisababisha kupewa majina mabaya ya kuudhi ila leo kazi tunaiona hata kabla ya mwezi na nusu wale watu uliokuwa ukiishi nao wamebadilika labda kikubwa ni sherehe za mwenge kwenda kuzimiwa huko chato.
Mzee baba nchi inalia kukupoteza leo hii Membe anakushambulia ukiwa haupo wala huwezi kumjibu ila atajibiwa na Mungu leo hii yule uliyemsaidia kupita bila kupingwa eti nae anataka ukaguzi kwenye mikopo, Yule askofu sijui nani yule wa Chadema anakusema ulikufa kwa uviko wakati si kweli.
Mama nae anaishi mwezini kila baada ya mwezi anabeba group la watu kwenda nalo huko mwezini kwenye ziara za kutia hasara ambazo kipindi chako ulimtuma yeye.
Baba january anatuletea makampuni na ile mikataba ya kina karl peter wakati alitakiwa aelekeze nguvu bwawa la Nyerere.
Huyo job uliyemuamini hata kabla ya arobaini alikugeuka na kutaka mradi wa bandari ya Bagamoyo.
Mwanao pole pole bado anaendeleza mapambano lakini muda wowote atapigwa Tko, kaka Bashiru kakurwa sijui yu wapi tulipigwa wimbi moja tu wote tukapoteana
Soko letu la kale pale Kariakoo liliungua moto linajengwa upya, ndege bado tunaendelea kuzipokea.
Lala baba kizazi kitakukumbuka daima alama uliyoiwacha haitapotea. Itadumu milele.
NURU YA MILELE IKUANGAZIE
Msalime komredi mwalimu, komredi Mugabe, Komredi mao, komredi Mobuto, Komredi kwame, Samora, Mandela, castro, guevara na wenginio.
Tunawakumbuka daima!
Huyo ni mdogo wake NdugayeMabaki ya Sukuma Gang
Chuma hiki [emoji30][emoji30]View attachment 2005672

Mfuate Yuko huko Motoni Jehanamu anapata Stahiki yake, Nenda Kamueleze hayaThe best ever one man army John Joseph Pombe Magufuli ulale kwa amani, uliona mbali kwa kutokucheka na kima hilo lilisababisha kupewa majina mabaya ya kuudhi ila leo kazi tunaiona hata kabla ya mwezi na nusu wale watu uliokuwa ukiishi nao wamebadilika labda kikubwa ni sherehe za mwenge kwenda kuzimiwa huko chato.