Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Ngoja waje asali suppoters usikie uharo wao!Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo
Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa
mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi
Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara
Na hatimaye miaka yako yote ikaisha bila kuongeza mishahara, Ila maisha yalikuwa chini, mfumko wa bei ulikuwa chini
Leo tumeongezwa mishahara bhana! Utadhani hatujaongezwa tuu! Hatujawahi kuridhika,
Wewe bhana JPM, ulale salama, ulituambia ukweli bila kupekecha macho!
😅😅😅😅Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo
Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa
mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi
Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara
Na hatimaye miaka yako yote ikaisha bila kuongeza mishahara, Ila maisha yalikuwa chini, mfumko wa bei ulikuwa chini
Leo tumeongezwa mishahara bhana! Utadhani hatujaongezwa tuu! Hatujawahi kuridhika,
Wewe bhana JPM, ulale salama, ulituambia ukweli bila kupekecha macho!
Acha kulia lia kama Sukuma gang, fanya kazi au kalale pale chatoTulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo
Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa
mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi
Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara
Na hatimaye miaka yako yote ikaisha bila kuongeza mishahara, Ila maisha yalikuwa chini, mfumko wa bei ulikuwa chini
Leo tumeongezwa mishahara bhana! Utadhani hatujaongezwa tuu! Hatujawahi kuridhika,
Wewe bhana JPM, ulale salama, ulituambia ukweli bila kupekecha macho!
Kumbe umeongezewa,rudisha hicho kiasi kama hakitoshi..Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo
Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa
mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi
Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara
Na hatimaye miaka yako yote ikaisha bila kuongeza mishahara, Ila maisha yalikuwa chini, mfumko wa bei ulikuwa chini
Leo tumeongezwa mishahara bhana! Utadhani hatujaongezwa tuu! Hatujawahi kuridhika,
Wewe bhana JPM, ulale salama, ulituambia ukweli bila kupekecha macho!
Kila mwenye akili timamu alishangilia na bado tunashangilia, kumbuka kuwa ni kila mwenye akili timamu. So usijesema mbona wewe hukushangilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapumbavu wakawa wanashangilia baada ya kufariki kwake eti mama atamwaga hela mtaani!
Kamfufue uzikwe wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapumbavu wakawa wanashangilia baada ya kufariki kwake eti mama atamwaga hela mtaani!
Kamfufue uzikwe wewe
Nani yule kajala wa kebys au JanetHahahah!!!!huyu mjane ana dukuduku kwel