Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo
Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa
"Mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi. Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara"
Na hatimaye miaka yako yote ikaisha bila kuongeza mishahara, Ila maisha yalikuwa chini, mfumko wa bei ulikuwa chini
Leo tumeongezwa mishahara bhana! Utadhani hatujaongezwa tuu! Hatujawahi kuridhika,
Wewe bhana JPM, ulale salama, ulituambia ukweli bila kupekecha macho!