Magufuli lala salama!

Magufuli lala salama!

Paulsylvester

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
1,464
Reaction score
3,379
Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo

Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa

"Mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi. Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara"

Na hatimaye miaka yako yote ikaisha bila kuongeza mishahara, Ila maisha yalikuwa chini, mfumko wa bei ulikuwa chini

Leo tumeongezwa mishahara bhana! Utadhani hatujaongezwa tuu! Hatujawahi kuridhika,

Wewe bhana JPM, ulale salama, ulituambia ukweli bila kupekecha macho!
 
Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo

Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa

mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi

Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara

Ngoja waje asali suppoters usikie uharo wao!
 
😅😅😅😅
 
Acha kulia lia kama Sukuma gang, fanya kazi au kalale pale chato
 
Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo

Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa

mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache kazi, kwani nje kuna wahitimu kibao hawana kazi

Wafanyakazi nawaomba tuchape kazi, ili miradi yetu ikianza kutapika, tutaongeza mishahara

Na hatimaye miaka yako yote ikaisha bila kuongeza mishahara, Ila maisha yalikuwa chini, mfumko wa bei ulikuwa chini

Leo tumeongezwa mishahara bhana! Utadhani hatujaongezwa tuu! Hatujawahi kuridhika,

Wewe bhana JPM, ulale salama, ulituambia ukweli bila kupekecha macho!
Kumbe umeongezewa,rudisha hicho kiasi kama hakitoshi..

Upewe salary kubwa kwa tija gani hasa unayoleta kwenye Taifa?
 
Unyonge unaendana na umaskini na roho mbaya. Leo Kuna watu wameamka na furaha! Kisa? Ongezeko sio asilimia 23% kwa kila mtumishi.
Pushgang, Mama ni jasiri na amejitahidi. Sie tunashukuru. Mwendazake hakuwahi kujaribu kuongeza mishahara Wala ajira miaka sita! Fikiria kama angejaribu hata alichofanya Mama kwa kila mwaka kwa kipindi Cha miaka sita (55000x6=330000) sasa hivi tungekuwa mbali.

Hamkusema neno.
 
77F5933E-41E2-4907-8428-68F02D69F439.jpeg
 
Back
Top Bottom