Nadhani tatizo hapa ni zaidi ya kiingereza. Ni suala la weledi na mantiki. Hicho kiingereza ulichokiona ni dalili tu lakini kuna tatizo kubwa zaidi kuhusu uwezo wa kifikra wa viongozi wetu. Lakini kwa kuwa tumeamua kufungia macho ujinga acha twende hivyohivyo kuna siku tutaamka.
kutoa hotuba nzuri kwa kiingereza inakusaidia nini, mbona unaendeleza utumwa mkuu kiingereza lugha ya watu na si yetu.
kuishabikia ni mwendelezo wa utumwa, kama mtu ni mtendaji mzuri na ana uwezo wa kutusaidia tumwache kisa hajui kiingereza upuuzi wa hali ya juu.
kuna maarifa na lugha kujua kiingereza haikufanyi kuwa na maarifa mkuu
ukirusha jiwe gizan usikie kelele ujuwe limempata:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty:Angalieni uhusiano wa mdomo na mikono,, hii yakupikwa 100% Hakuna uwiano wa mdomo na maneno yatokayo mdomoni,,, pia ishara ya uso na mikono havilingani na maongezi ya van mdomoni....
Wasaalam wakuu
wagombea wetu mwaka huu wanachekesha sijui wanachapa kizungu cha marekani, Afrika kusini, Uingereza au wapi? Kama yule mwenye Phd yeye ni kuvuruga ligha za watu tu sasa sijui kama ataweza kupresent mambo kama afanyavyo raisi wa Kenya, au ndio atapiga kisukuma chake ?
Nadhani tatizo hapa ni zaidi ya kiingereza. Ni suala la weledi na mantiki. Hicho kiingereza ulichokiona ni dalili tu lakini kuna tatizo kubwa zaidi kuhusu uwezo wa kifikra wa viongozi wetu. Lakini kwa kuwa tumeamua kufungia macho ujinga acha twende hivyohivyo kuna siku tutaamka.
Itakapofika wakati wa kubargain country's interests na first world ndipo utakapojua umuhimu wa kiingereza

Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Profesa with all due respect....nyie ndio wa kulaumiwa! I can bet huyo magufuli hawezi kupata phD popote pale duniani kwa ung'eng'e huo isipokuwa phD ya UDSM tu!
So, tuseme wasomi wetu tunaowaamini wanauza hadi phD ?????? Maana tayari mtaani kwetu kuna kamsemo tunasemaga degree za vyupi!
Sina tatizo na lugha, ila nina tatizo na lugha kwa ulinganisho wa elimu kubwa aliyonayo! phD!!!!!!
Itakapofika wakati wa kubargain country's interests na first world ndipo utakapojua umuhimu wa kiingereza
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?
hahahaha nimecheka sana aisee ilonalo neno duhAhsante sana kwa kuliona hilo na wewe.
Nilisema siku ile ambapo huyo Magufuli alipoteuliwa kuwa mgombea wa CCM kuwa tujiandae kuaibishwa kimataifa.
Hebu vuta picha Magufuli kasimama kwenye podium na David Cameron, Carly Fiorina, au hata Hillary Clinton halafu wanajibu maswali ya waandishi wa habari hapo 10 Downing Street au White House halafu huyu 'Msukuma' naye awe anaongea Kiingereza........