Can you share some examples of when she was a catalyst who brought groups with polarized opinions together so that all voices were at the table?Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Tanzania Kiingereza ni tatizo la kitaifa. Tell us something we don't know.
What you are choosing now is between Pwagu and Pwaguzi. The devil and the deep blue sea.
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Kwa sababu ni tatizo la taifa.
Sasa hivi hata ukitaka rais anayejua kiingereza cha yai kati ya hao wawili ulionao huna.
Lowassa anasema "our people are more poorer", Magufuli anaongea kiingereza cha Malampaka.
Kwa hiyo hata kiingereza kingekuwa priority, huna uchaguzi, kwa sababu ni tatizo la kitaifa.
Kuanzia presidential candidates mpaka housegirls.
Na utabeza umuhimu wa kiingwreza mpaka hapo rais wako atakapoenda Davos na mkalimani na kupoteza deals jwa kuwa kitu kimekuwa lost in translation.
Au kufanya gaffe itakayotufanya tuwe laughingstock of the world.
Manufacturing of teachersmwaka huu tusidanganyane si ukawa si ccm kati ya hivyo vyama viwili hakuna mgombea maridadi kwenye kuzungumza hayupo? Ikifikia hatua watu wanapiga pish up ili hali watu maelfu wamejumuika wawasikie watawafanyia nini basi ujue kuna walakini huku ukawa nako wetu hawezi zungumza hata kwa nusu saa na anatafuna maneno si mchezo kwenye suala la kujieleza wote hawapo sawa kabisa
Usiwe lofa wewe siku hizi teknolojia imekuwa unaweza kuongea hata kisukuma watu wakakuelewa kwa kiingereza mbona mnakuwa wapumbavu kiasi hiki? Hakuna issues ya msingi ya kujadili hapa.leteni mambo ya maana siyo huu upuuzi wa kuongea English.
Akili za kijinga hizi.mbona wajapani wanapata PhD zao na kiingereza hawajui na mkiwaona mnawasifia? Pumbavu sana.
Hawa wanaong'ang'ana ni wale huwa tunawaita Arts Pure.Huwa husoma masomo na hukuzania sana Kıswahl,Kıingere na Uraia.Wengi wao huwa hawana uwezo wa kutosha kıakili.Magufuli nı mwanasayansi na PhD yake n ya Chemistry,hana haja ya ngwine zenu,ıla kıchwa ni full charged.
Kwa kweli kaivunjavunja Lugha ya Malkia..PHD holder hajui hata Saddam Hussein alikuwa Rais wa wapiusitudanganye
hukumuelewa magufuli?????...ILE SIO LUGHA YA MAMA KWA HIYO ALIVYOIVUNJA VUNJA poa tu kwa kuwa alichosema kimeeleweka
ila aibu kwa mbali............