Isaya Nehemia
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 555
- 452
china na mfanano wake wasiotumia kiingereza wana bargain interest zao ki aje boss na hao 1st world.
Kwahiyo una halalisha ujinga kwa ujinga? au kwa vile hapo yupo George Bush hahahaha tuna safari ndefu.
VIVA UKAWA!!!!
...lakini huyu jamaa Magufuli ni product ya doctorate zenu (nyingine za kimagumashi) mnazotoa hapo udsm prof....sishangai wengine hawa hata ku practice specialty zao huwa shida...na matokeo yake wanajiingiza kwenye siasa....haya ni sehmu ya matokeo y kazi yenu hap udsm prof....ndio maana hamlali mnalalamika wasomi wa kibongo kukosa kazi kwenye soko la ajira wanapopambanishwa na wenzao wa nje....Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
[/QUOTE]QUOTE=;14126205]
"I am a politicians". "I dont want to take this time as saying so many political...."
"Simple and clear is only congregations to you.."
"To the University Korindor... , Co... Cor,.. Colimbia univeristy to the assistance we are getting to this hospt"..
Bila shaka huyu jamaa anatamani KIMATUMBI iwe lugha ya kufundishia Tanzania.
Kwa kuwa alisoma katika mfumo wa lugha ya Kiingereza, na Katiba ya nchi inahitaji awe na kiwango sahihi cha elimu, huyu jamaa anayo hiyo elimu?
Kwa harufu ya degree za magumashi, ni dhahri alipishana na wahadhari mlangoni. Kwa mtino huu bado anasifa ya kugombea hata ubunge?
Unapochangia, ulinganishe na "SADDAM wa LiBYA/KUWAIT"
LINGANISHA NA MGOMBEA WA UKAWA MHESHIMIWA LOWASA.
Wewe lofa kweli.Tanzania tunazungumza lugha 3. Lugha ya kwanza ni vernacular (Kabila) second language ni Kiswahili na lugha ya 3 ni kiingereza. Mbona huulizi Kama anajuwa kisukuma au Kiswahili? Vijana msiwe watumwa wa akili mtachelewesha Kasi ya Maendeleo katika nchi hii.
[/QUOTE]QUOTE=;14126205]
"I am a politicians". "I dont want to take this time as saying so many political...."
"Simple and clear is only congregations to you.."
"To the University Korindor... , Co... Cor,.. Colimbia univeristy to the assistance we are getting to this hospt"..
Bila shaka huyu jamaa anatamani KIMATUMBI iwe lugha ya kufundishia Tanzania.
Kwa kuwa alisoma katika mfumo wa lugha ya Kiingereza, na Katiba ya nchi inahitaji awe na kiwango sahihi cha elimu, huyu jamaa anayo hiyo elimu?
Kwa harufu ya degree za magumashi, ni dhahri alipishana na wahadhari mlangoni. Kwa mtino huu bado anasifa ya kugombea hata ubunge?
Unapochangia, ulinganishe na "SADDAM wa LiBYA/KUWAIT"
LINGANISHA NA MGOMBEA WA UKAWA MHESHIMIWA LOWASA.
English is not our mother tongue so kukosea ni jambo la kawaida sana sababu sio lugha yetu,mbona humshangai baba yako ambaye hajui kutamka hata sentens moja ya kingereza unakuja kumshangaa magufuri.
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimatiafa na lugha ni tatizo na dnio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa makufuli huku wakinyendea nafsi kama washuri wake akibahatika kuwa raisi kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.
Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndg yetu mapadlock
Kuna kukosea na kutokujua ,magufuli hajui kingereza
Baba yangu simshangai kwasababu sio msomi Wa level ya PhD kama mapadlock
Mimi sioni tatizo kwani hatuchagui rais wa waingereza bali rais wa Watanzania
Pili mbona rais wa China alipokuja hapa alitumia lugha yao Chinese why not Dr Magufuli kutumia kiswahili
Isitoshe Magufuli is a scientist (Chemist and Mathematician) he knows to balance equations and calculations.
Mkuu nimeku-pmHata mimi.nilitumiwa hii clip niliona siye yeye aliyeongea hayo maneno. Amewekewa tu. Kumbuka hata push up.alizopiga tayari amewekewa ushuzi. kila akinyanyuka utasikia pyuu na ile push up ya mwisho ushuzi umekaa muda mrefu kama vile dalili ya kumalizia ushuzi..yaani pyuuuuuuuuuuuuuuu!. Jaya mambo ni ya kutunga tu. Maneno kweli hayaendani na vitendo.
Mkuu, mbona anasema I'm a poreticians?
Acha ujinga mkuu. Unajilinganisha na China wkt Tz hata kiwanda cha Toothpick hatuna!!!! Tukisema Tz inazidiwa na Rwanda kiuchumi mnasena eti Rwanda ni ndogo ndo maana, sasa kwny kizungu mbona mnajilinganisha na China?
Mlinganisho wako ma China hauna mantiki. Chinacwao shufhyli zao zote wanafanya kichina watoto tangu primary wanasoma kichina kingereza hakitumiki kwao. Sio lugha ya kufundishia km sisi. Kiingeteza China ni km kifaranza tanzania. Rais kikwete akienda nchi za kifaranza hqzungumzi kifaranza anazungumza kiingereza. Sasa rais wa china hajui kiingereza kwa sababu hiyo lugha haipo kwao lakini kwetu kiingereza ni sehemu ya lugha zetu muhimi za mawasiliano. alipokuja alizungumza.
Kwani kiwanda kinaletwa na kiingereza? nendeni uingereza hapa kwetu panaitwa Tz na lugha yetu tukufu ni Kiswahili na kwa sasa inaenea kwa kasi ya ajabu sana na ipo siku ..I have a dream ..Kiswahili kitatumika UN assembly
Kijana tunaangalia masuala ya msingi kwa sasa. Hatuwezi kujadili kama magufuli anavaa suruali nyeusi au ya blue.
Kuna kukosea na kutokujua ,magufuli hajui kingereza
Baba yangu simshangai kwasababu sio msomi Wa level ya PhD kama mapadlock