Nafikiri ilikuwaaje kwa sababu ww ni muuza unga,jambazi ,corrupt .Ilikuaje mpaka Magu akawa RAIS akawazuia kupiga dili.
Kiongozi yoyote atakaeleta udikiteta tz Mungu atamuondoa mapema sanaIla mungu anatupenda,nchi zingine madikteta wanatawala Hadi miaka 20 na zaidi ,ila dikteta wetu alipewa muhula mfupi,
Sasa Mungu ametuletea mama mcha Mungu, na mwenye huruma, tukimletea ziaka tutajaribiwa Tena kwa dikteta ndugai!!!
Alijua ila hawakuwa na namna.Kabisa yan!!! Yan imefikia ccm inamhonga pesa mpinzani ili aende ccm kisha anapewa ubunge na uwaziri!!! Ile ilikua ni aibu sana kwa ccm Ila magu hakujua!??
Sasa huyo ndio watu wa magu hao!!!Uyu nae vp tena??
Unaharibu legacy mkuu
Hilo lipo wazi nchi kama nchi wamejifunza kitu kikubwa sana sana sana Ila magalasa hayawezi jua kabisa !!! Sio kila MTU anaweza kuw RaisCCM ushauri kwenu, najua nyinyi ndio mmeshika jembe, Polisi, NEC na kila kitu ni mali ya chama nawaomba msije kusimamisha tena mtu wa dizaini ile....hakuna alie kamili, kila mtu ana mapungufu ila pale Taifa lililamba garasa.
Yani hadi Mungu mwenyewe amewakumbusha.
Walau basi muweke watoto wa mjini.
"Aliserema serema"... Mwanza serema seremaaaa[emoji1787][emoji1787]Hajawahi kuhutubia yule, alikua anafokafoka tu...
Inaonekana ww ni muuza unga.Na pia jambaz .Kwa taarifa yako hakuna wakati watu wametekwa na kuuawa, unga umeuzwa sana, watu wamebambikiwa kesi za hovyohovyo, watu wameshuhudia uongozi wa kishamba na kiimla, kuminywa kwa vyombo vya habari, watumishi kutopandishwa madaraja na kutopewa nyongeza yao ya mshahara kila muhula, kununuliwa madege mabovu, viongozi kufoka katika kila hotuba na kutukana wananchi na kukejeri, viongozi kutaja jina la Mwenyezi Mungu jukwaani huku wao wakiwa mashetani na wenye roho mbaya ya chuki kwa wengine, wakati wa hao watu walifanya chochote ikiwamo kuiba wake za watu na mbaya zaidi kuanza kutesa wale wanawake waliowakataa, yaani uongozi wa hao watu hawakuwa hata na chembe ya ustaarabu hata kidogo kama viongozi wako hao
π Saizi anawaimbisha malaika wadogo ,maana yeye si malaika mkuu alisema!!"Aliserema serema"... Mwanza serema seremaaaa[emoji1787][emoji1787]
Alikuwa anapenda huo wimbo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwa ranking za kwako usiye na elimuYan ukitaka kuonekana hooligan and stupid msifie magu!??? Yan magu na mama wakisimama aneonekana ana PhD ni mama Samia !!! Yan mpaka huwa najiuliza magu alifaulu vipi
we hawala wa Sabaya nenda kamuone bwana ako gereza la kisongo, kabakia kichwa tuKwa ranking za kwako usiye na elimu
Umemsahau na ndugai
Kila zama na kitabu chake ndio maana Marekani kuna democrats (Rais Samia) na Republicans (Rais Magufuli). Aliyoyafanya JPM yalikuwa sahihi kwa wakati wake ila sasa tumuunge mkono mama yetu kipenzi (Democrat) Samia Hassan.
Mimi ambao na washangaa kwa sasa ni wale wanaosema magufuli angekuepo haya yasingetokea wananikera mno
ππππππ Baba kisanga yule.... Bora alivyopumzishwa."Aliserema serema"... Mwanza serema seremaaaa[emoji1787][emoji1787]
Alikuwa anapenda huo wimbo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
πππ"Aliserema serema"... Mwanza serema seremaaaa[emoji1787][emoji1787]
Alikuwa anapenda huo wimbo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Walipatikana kupitia unafiki, kupuuzia matendo na matokeo ya matendo yao na kubebana.Wakuu
Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu,
Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu ilitokea nini hadi tukaongozwa na watu wa kariba hiyo natamani vizazi vijavyo visipate kufahamu historia za viongozi wa aina hiyo yaani wasikumbukwe kwa lolote kabisa maana ukihadithiwa ukweli unaweza kujikuta unaanza kulia kwa uchungu jinsi walivotuongoza hawa waliotajwa hapo juu.
Nauliza ilikuaje wakawa viongozi?