Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

Kwani ujane bado hujauzowea?
 
JPM ni Mwamba wa Afrika wa Kweli
 
Nonsense!!.
 

Kama Kweli Alikuwa Anaipenda Nchi Hii Asinge Kubali Kutumia Katiba Chakavu

Raisi Atakae Ipenda Tanzania Ni Yule Atakaye Ipatia Katiba Mpya Na Sio Mikelele Ya Kulia Lia
 
Magufuli ni Rais aliyekuwa na stress zake nyingi tu,bahati mbaya CCM/taifa likashindwa kuchanga karata zake vizuri mara Magufuli akawa raisi

Yaani mtu wa kijijini huko anayeendesha baisikeli Aina baiskeli Aina ya Avon/Hamilton,ukampa aendeshe Tesla/Ferrari.

Magufuli alikuwa kiongozi mzuri tena mchapa kazi ila hakustahili kuwa Rais,viatu vya urais vilimpwaya mno mwanachato yule

Usiku mwema.
 
M
Mkuu, kunawatu wanatamani kupiga marufuku hotubazake ama kuziondoa kabisa zisisikike popote lakini ndiohivyotena haiwezekani.

Wewaache wa rukeruke 25 sio mbali tutaelewanatu.
 
Kwa nchi za Kiafrika,hata ukiweka chizi Ikulu,ataonekana ana akili kama Profesa na mwenye busara kama nabii Suleiman.
JPM alikuwa mwizi kama majizi mengine yaliopo sasa hv
 

Rest In Power JPM

Umetufumbua macho kwa mambo mengi sana

Rest In Power JPM
 
Mwachieni JPM apumzike kwa amani, huu sasa ni uchuro.
 
Achana na huu utopolo huu, unajua kunawatu wanadhani watanzania hawajui nani alietufanyia mema na mabaya.
Muda utaongea.

Mkuu watanzania ni spectrum kubwa:

1. Kuna 8m+ chadema hao.
2. Kuna kina Moses Lijenje, Azory, Adamoo, Ling'wenya, Urio, Mhina nk ndugu, jamaa na marafiki zao pia.
3. Kuna kina Bulembo, Nape, Kinana, Membe, Makamba nk ndugu, jamaa na marafiki zao pia.
4. Kuna kina Diallo ndugu, jamaa na marafiki zao.
5. Waliobambikiziwa kesi, hukumu hadi vifo, wakiwamo ndugu, jamaa na marafiki zao.
6. Nk.

Kuwaambia hao muda kusema? Watakwambia muda upi wakati wamenusurika kutokea kwenye mdomo wa mamba?
 
Mnatia hasira, yaani mumue Dkt Magufuli na bado muendelee kutukebehi, subirini. Ni bora kazi za Dkt Magufuli zinaonekana, hata ninyi mnaziona na mna kiri.
 
Mnatia hasira, yaani mumue Dkt Magufuli na bado muendelee kutukebehi, subirini. Ni bora kazi za Dkt Magufuli zinaonekana, hata ninyi mnaziona na mna kiri.
Tokea lini ripoti ya CAG ikawa ni kebehi?Umechanganyikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ