Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

Mama awe makini saiz wanampamba kama ilivyokuwa kwa Magufuli lakini akiondoka watamsema hivi hivi
Saiz wanamsifu wanasema mama anafungua inchi
Magufuli walimsifu kuwa anajenga inchi.!
 
Mama awe makini saiz wanampamba kama ilivyokuwa kwa Magufuli lakini akiondoka watamsema hivi hivi
Saiz wanamsifu wanasema mama anafungua inchi
Magufuli walimsifu kuwa anajenga inchi.!
Ni kweli, Mama afanye anachokiamini na akemee huu upumbavu wa kumlinganisha na awamu ya Dkt Magufuli. Tena ningefurahi kama angetokeza kukemea hawa akina Bulembo
 
Mhuni aloyeasisi Uhuni ambaye Kwa SASA Yuko Jehanamu
 

1.5T
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pamoja na nia njema ya Mzee Magufuli sijui kwanini alifanya haya
1. Kutokemea vitendo vya watu kupotea na kuuwawa
2. Kutoongeza maslahi kwa watumishi wa umma
3. Kubariki biashara ya kununua wanasiasa wa upinzani
4. Kuzungumza lugha za kibaguzi kwa watu waliopata tetemeko Kagera, kuzungumza lugha ya kibaguzi kwa waliovunjiwa nyumba zao
5. Kuita trafic police kunywa nao chai ikulu ile siku meli imezama kule Ukerewe na Taifa liko katika msiba na wala hakuwahi kwenda kule

Orodha ni ndefu
Ila alijitahidi kwa kiasi chake
 
Toka alipozungumza haya hakuwa kuonekana tena hadharani mpaka leo
 
Alikuwa katili sn
 
Bashiru ni takataka ashughulikiwe vizuri
 
Kwan akihutubia hiyo mikutano mikubwa, Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ inafaidika vipi? Masikini baba babu mtt dada kaka kule kijiji kasuli au kikelelwa ataletea maji au umeme, kod zitapungua...

Fikiria nje ya box mkuu. Ukiwa ndani ya box huwezi kuona na wenye taabu na kina sabaya na genge lao utawachukia bure 😁😁.

Kosa ni kurudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…