Magufuli: Mimi ndio Rais, ninajua siri zote za nchi

Unataka awaze kama wewe unavyo taka?
 
Ni kweli kila binadamu ana mapungufu yake ila mimi kwenye suala la Corona nitamkumbuka daima na taifa linatakiwa limuheshimu kwa kutuvusha salama kwenye propaganda ile yenye lengo la kudhoofisha uchumi.
 
Huu uzi umejaa mijizi na watu wanaongalia matumbo yao waliumizwa awamu iliyopita na magufuli ndo maana hawatakubali hilo.
 
Kama aliona tumechezewa, aliwachukulia hatua gani hao waliotuchezea? Ukiona kiongozi analinda uozo alioukuta ujue na yeye ana mpango wa kufanya uozo wake. Anawalinda waliopita ili na yeye alindwe akimaliza muda wake.
 
Gwajima kasema Kuna watu mashuhuri 15 atawafufua mwisho wa mwezi huu!!

lolote tutegemee wakuu!
Akimfufua na Magufuli, atakufa tena ndani ya dakika 5 tu baada ya kuona tulivyopindua ujinga wake juu chini
 
Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya sana.Makato ya juu bodi ya mikopo,kawafukuza kazi walimu waliotufundisha
 
Mwendazake alikuwa na uwezo tu wa kusema chochote alichotaka kusema, lakini hakuwa na uwezo wa kutenda kadri ya kauli zake, mifano ipo mingi:
1.Alisema Maendeleo hayana chama, Lakini huyohuyo akasema hatopeleka maji wala umeme walipochagua mpinzani
2.Katika hotuba zake alikuwa akiwahamasisha wananchi kuungana na kuwa kitu kimoja kupigania nchi yetu lakini yeye mwenyewe aliwagawa na kuwabagua wananchi waziwazi kabisa kwa misingi ya ukabila, ukanda na itikadi za kisiasa.
3.Alihubiri kupambana na ufisadi wakati yeye manunuzi aliyofanya kwa fedha za wananchi akagoma yasikaguliwe, tutajuwaje kama chenchi yetu ilobakia ilirudishwa hazina?
4. Wapi 1,5 trilion? Hivi huku nako sio kuchezewa???
 
 
Na kweli alizikwa kaburini
 
Ni kawaida kwa cheti fake kupunguzia hasira kwa kumponda mwanaume wa shoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…