Kwenu raisi bora ni yule anaeruhusu watu wajifanyie wanachotaka dhuluma na michezo ya kifisadi sio!Kwa nchi za Kiafrika,hata ukiweka chizi Ikulu,ataonekana ana akili kama Profesa na mwenye busara kama nabii Suleiman.
JPM alikuwa mwizi kama majizi mengine yaliopo sasa hv
Unanilalamikia mimi kwani mimi ndiye CAG?Nenda kamlalamikie CAG ambae ndiye alietoa ripoti.MATAGA bhana!๐๐๐Ni kawaida kwa cheti fake kupunguzia hasira kwa kumponda mwanaume wa shoka
Pamoja na yote kama alifanya maendeleo kama raisi na alikuwa visionary sioni shida hakuna raisi ambaye hakuwa mwizi anywaysMwendazake alikuwa na uwezo tu wa kusema chochote alichotaka kusema, lakini hakuwa na uwezo wa kutenda kadri ya kauli zake, mifano ipo mingi:
1.Alisema Maendeleo hayana chama, Lakini huyohuyo akasema hatopeleka maji wala umeme walipochagua mpinzani
2.Katika hotuba zake alikuwa akiwahamasisha wananchi kuungana na kuwa kitu kimoja kupigania nchi yetu lakini yeye mwenyewe aliwagawa na kuwabagua wananchi waziwazi kabisa kwa misingi ya ukabila, ukanda na itikadi za kisiasa.
3.Alihubiri kupambana na ufisadi wakati yeye manunuzi aliyofanya kwa fedha za wananchi akagoma yasikaguliwe, tutajuwaje kama chenchi yetu ilobakia ilirudishwa hazina?
4. Wapi 1,5 trilion? Hivi huku nako sio kuchezewa???
Lusungo lusungo!!! I'm married my dear bro!Sorry nje ya mada fatma, huyo kwenye avatar ni wewe?
Hajauliza kama umeolewa au lah, ameuliza kama huyo kwenye avatar ni wewe.Lusungo lusungo!!! I'm married my dear bro!
Labda kama itatumika kama rejea ya kuonyesha vizazi vijavyo kwamba Tanzania iliwahi kupata Rais kituko kiwango cha 5G, muongo sana, mzandiki sana, katili sana, fisadi sana na mtu mwenye roho mbaya kama Hitler!HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO
Nanukuu
Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu zangu kwamba tumechezewa mno.
Nataka niwahakikishie ndugu zangu katika awamu hii ya 5 chini ya Uongozi wangu HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu?
Ndio maana nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania! [emoji1241] Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania! [emoji1241] Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu[emoji21] [emoji1241]. Na ndio maana yaliitwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania [emoji1241].
Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite duniani,Tanzania imepata asilimia tano (5.%) Asilimia tisini na tano (95.%) zimeliwa na wengine wa nje, mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili? sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini? kama sitazungumza huu uozo hadharani? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani? Sababu ya maisha yangu?
Si nafuu nizikwe kaburini lakini niuseme ukweli Watanzania waujue? Kwa hiyo ninataka kuwaambia ndugu zangu vita ya uchumi ni ngumu zaidi kiliko vita ya kawaida, kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure! Na kuwadharau watanzania ni mambumbumbu, wapumbavu Wajinga, si jambo rahisi, ndio maana nawaomba sana wote tusimame kwa pamoja tuwe wa moja tupiganie haki zetu.
Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina damu, au sio kwamba mimi sipendi hela. NAJUA MKIAMUA TUTAFIKA.
R.I.P. JPM[emoji120][emoji120][emoji120] [emoji24][emoji24][emoji24],MWAMBA, SHUJAA SIMBA WA VITA[emoji1241]
PUMZIKA KWA AMANI MWANA WA AFRIKA
HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO

Kama nyie na huyo Bashiru mwajiona ni wakweli na wasafi zaidi, rudisheni basi mali za wananchi; viwanja vya michezo na majengo mlivyojimilikisha. Ama sivyo wote ni wezi waliowahiana tu hakuna mwenye ubavu wa kumshika mwingine.Huyu mzee lazima angaliwe kwa jicho la mbali sana anaaza kumnanga bashiru na polepole anajihami mapema maana Bashiru ana siri nyingi sana za mafisadi wa mali za ccm na waliojimilikisha mali za ccm wanawajuwa kwa majina maana bashiru alikuwa mwenyekiti wa kamati ya kukagua mali za ccm ndo maana wanawaandama sana tuwe makini watz na hawa watu
Afrika ipi? Labda ya kwenu Burigi.JPM ni Mwamba wa Afrika wa Kweli
Kushambulia na kuua watanzania ovyo ?Wananchi wanahitaji maendeleo, maji umeme na miundombinu ,hawahitaji eti wa mjini na mjanja na eti anaongea sana na wazungu
Nyie ndo wale mliokuwa mkitoka kwenye chumba cha mtiani mnajisifu kuwa mmeshusha nondo kwenye history matokeo yakija mna zero[emoji23][emoji23] OP nyingi.Pamoja na nia njema ya Mzee Magufuli sijui kwanini alifanya haya
1. Kutokemea vitendo vya watu kupotea na kuuwawa
2. Kutoongeza maslahi kwa watumishi wa umma
3. Kubariki biashara ya kununua wanasiasa wa upinzani
4. Kuzungumza lugha za kibaguzi kwa watu waliopata tetemeko Kagera, kuzungumza lugha ya kibaguzi kwa waliovunjiwa nyumba zao
5. Kuita trafic police kunywa nao chai ikulu ile siku meli imezama kule Ukerewe na Taifa liko katika msiba na wala hakuwahi kwenda kule
Orodha ni ndefu
Ila alijitahidi kwa kiasi chake
Hizo siri zikiwemo na mambo ya Hovyo aliyoyafanya Magufuli anazo Rais Samia.HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO
Nanukuu
Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu zangu kwamba tumechezewa mno.
Nataka niwahakikishie ndugu zangu katika awamu hii ya 5 chini ya Uongozi wangu HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu?
Ndio maana nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania! [emoji1241] Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania! [emoji1241] Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu[emoji21] [emoji1241]. Na ndio maana yaliitwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania [emoji1241].
Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite duniani,Tanzania imepata asilimia tano (5.%) Asilimia tisini na tano (95.%) zimeliwa na wengine wa nje, mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili? sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini? kama sitazungumza huu uozo hadharani? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani? Sababu ya maisha yangu?
Si nafuu nizikwe kaburini lakini niuseme ukweli Watanzania waujue? Kwa hiyo ninataka kuwaambia ndugu zangu vita ya uchumi ni ngumu zaidi kiliko vita ya kawaida, kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure! Na kuwadharau watanzania ni mambumbumbu, wapumbavu Wajinga, si jambo rahisi, ndio maana nawaomba sana wote tusimame kwa pamoja tuwe wa moja tupiganie haki zetu.
Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina damu, au sio kwamba mimi sipendi hela. NAJUA MKIAMUA TUTAFIKA.
R.I.P. JPM[emoji120][emoji120][emoji120] [emoji24][emoji24][emoji24],MWAMBA, SHUJAA SIMBA WA VITA[emoji1241]
PUMZIKA KWA AMANI MWANA WA AFRIKA
Mkuu inasikitisha sana kujua kijana msema Sana kumbe alikuwa anatumiwa na old CEO wa kampuni yetu!Fatma
Ilikuwa nikupe complimentary ya LIKE
Ila kuna chizi umemtaja hapo kwenye aya yako ya Mwisho.
Hayo mambo ya Hovyo ya JPM ndiyo sababu iliyochangia tabaka la chini kumpenda
Mutu yenye maamuzi, Mutu yenye msimamo!
Achana na hao mbilimbili wengine,
the guy was really not fake like Chinese handset!
Thanks!
Itoshe KUSEMA MUNGU tusamehe KWA Magufuli kwakweli!!Hizo siri zikiwemo na mambo ya Hovyo aliyoyafanya Magufuli anazo Rais Samia.
Anajuwa Siri zote za nchi ila hakujua makali ya COVID-19, haikukopesha ikapitanaye kenge mkubwa yuleHOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO
Nanukuu
Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa tu na roho mtakatifu nashindwa kuwataja, tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu zangu kwamba tumechezewa mno.
Nataka niwahakikishie ndugu zangu katika awamu hii ya 5 chini ya Uongozi wangu HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu?
Ndio maana nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania! ๐น๐ฟ Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania! ๐น๐ฟ Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu๐ฃ ๐น๐ฟ. Na ndio maana yaliitwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania ๐น๐ฟ.
Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite duniani,Tanzania imepata asilimia tano (5.%) Asilimia tisini na tano (95.%) zimeliwa na wengine wa nje, mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili? sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini? kama sitazungumza huu uozo hadharani? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani? Sababu ya maisha yangu?
Si nafuu nizikwe kaburini lakini niuseme ukweli Watanzania waujue? Kwa hiyo ninataka kuwaambia ndugu zangu vita ya uchumi ni ngumu zaidi kiliko vita ya kawaida, kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure! Na kuwadharau watanzania ni mambumbumbu, wapumbavu Wajinga, si jambo rahisi, ndio maana nawaomba sana wote tusimame kwa pamoja tuwe wa moja tupiganie haki zetu.
Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina damu, au sio kwamba mimi sipendi hela. NAJUA MKIAMUA TUTAFIKA.
R.I.P. JPM๐๐๐ ๐ญ๐ญ๐ญ,MWAMBA, SHUJAA SIMBA WA VITA๐น๐ฟ
PUMZIKA KWA AMANI MWANA WA AFRIKA