Rais Magufuli juzi alitueleza kwamba enzi ya yeye alipokuwa Waziri katika Utawala wa Mkapa alipata kununiwa na Waziri mkubwa.
Swali ni Waziri yupi alikuwa mkubwa kipindi hicho? Kwa sababu Waziri mkubwa alikuwa mmoja pekee - Sumaye.
itakuwa alierudi Nyumbani.Rais Magufuli juzi alitueleza kwamba enzi ya yeye alipokuwa Waziri katika Utawala wa Mkapa alipata kununiwa na Waziri mkubwa.
Swali ni Waziri yupi alikuwa mkubwa kipindi hicho? Kwa sababu Waziri mkubwa alikuwa mmoja pekee - Sumaye.
[emoji23]Huyo akikumbuka kitu kwenye kichwa chake atakisema muda huohuo mbele za watu, sasa usiombe akumbuke kuwa ulisoma naye na ulikuwa unamuonea sana ujue umekwisha
Rejea visasi dhidi ya Sumae huenda si kwa yeye kuhamia upinzani pekee, huenda yapo mengine nyuma ya pazia. Muda ni suluhu ya mengi, ipo siku tutajua alipo Ben Saa8 na waliomshambulia Lissu.
Huyo huyo. Na ndio maana alihama chama baada ya JPM kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM.Rais Magufuli juzi alitueleza kwamba enzi ya yeye alipokuwa Waziri katika Utawala wa Mkapa alipata kununiwa na Waziri mkubwa.
Swali ni Waziri yupi alikuwa mkubwa kipindi hicho? Kwa sababu Waziri mkubwa alikuwa mmoja pekee - Sumaye.
Membe ameingia uwaziri wakati wa JK hivyo sio yeyeAlimaanisha senior cabinet minister, Bernard membe.
Usikwepeshe ukweli.hilo linajulikana.membe aliwadhuru wengi sana kwa tamaa zake za urais.
Hicho kitabu kitajaa uongo kuliko kile cha Kalumekenge akataa kwenda shule au Essopo. Anapiga fix yuko ofisini akitoka atamzidi hata braza K wa Futuhi!Akimaliza muda wake wa urais atamtaja kwenye kitabu atakachoandika.
"mens rea "( Guilty mind) ipo wazi kwa Magufuli ingawa pia "Actus reus" inaweza kuwa ipo kwa asilimia 90. Magufuli yupo responsible kwa yote yanayotokea kama rais. Yeye ana jeshi, TISS, police nk. Kuhusu kushtakiwa huko The Hague ilikuwa one of the options......Atashtakiwa tu...wewe subiri kwani hujasikia kuwa aliyepigwa risasi na watanzania wengi wanaamini kuwa yeye Magufuli ndiye mhusika?
Wewe jipe moyo tu kumtetea Msukuma mwenzio...siku moja utashangaa. Acha kuwa bias...zungumza haki kama sivyo angalau uwe na sympathy na hao waliopotea akina Ben Saanane, Azory Gwanda na Lissu aliyekaribia kufa kutokana na risasi za TISS. Yanayotokea mbona huyo Magufuli wako hayakemei? NIMEFUNGA MJADALA SIWEZI KUMUONGELEA HUYO DICTATOR KWA SIKU MBILI NZIMA. NAWE NAOMBA UISHIE HAPO.
Mbona hafunguki kuhusu Ben Sanane?, ni upuuzi tu,Kweli Mkuu Mzee anafunguka makubwa mno
Siasa kitu kibaya sana kwakweli,hasa Afrika
[emoji23]Hicho kitabu kitajaa uongo kuliko kile cha Kalumekenge akataa kwenda shule au Essopo. Anapiga fix yuko ofisini akitoka atamzidi hata braza K wa Futuhi!