Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Bora ange RIP
Rais Magufuli juzi alitueleza kwamba enzi ya yeye alipokuwa Waziri katika Utawala wa Mkapa alipata kununiwa na Waziri mkubwa.

Swali ni Waziri yupi alikuwa mkubwa kipindi hicho? Kwa sababu Waziri mkubwa alikuwa mmoja pekee - Sumaye.
 
Kwani hilo neno " mkubwa" anamaanisha nini?
Mkubwa kwa umri ?
Mkubwa kimadaraka?
Mkubwa kwa maana ya uzoefu ?
Mkubwa kwa maana ya ushawishi kwenye baraza?

Aikambee,
 
Rais Magufuli juzi alitueleza kwamba enzi ya yeye alipokuwa Waziri katika Utawala wa Mkapa alipata kununiwa na Waziri mkubwa.

Swali ni Waziri yupi alikuwa mkubwa kipindi hicho? Kwa sababu Waziri mkubwa alikuwa mmoja pekee - Sumaye.
itakuwa alierudi Nyumbani.
 
Rejea visasi dhidi ya Sumae huenda si kwa yeye kuhamia upinzani pekee, huenda yapo mengine nyuma ya pazia. Muda ni suluhu ya mengi, ipo siku tutajua alipo Ben Saa8 na waliomshambulia Lissu.

Na ndie aliyesomeshwa namba kuliko wote
 
Rais Magufuli juzi alitueleza kwamba enzi ya yeye alipokuwa Waziri katika Utawala wa Mkapa alipata kununiwa na Waziri mkubwa.

Swali ni Waziri yupi alikuwa mkubwa kipindi hicho? Kwa sababu Waziri mkubwa alikuwa mmoja pekee - Sumaye.
Huyo huyo. Na ndio maana alihama chama baada ya JPM kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM.
 
Juzi kwenye ofisi za Lugola walikuwa wakisema msaga sumu ni Mzee wa kujimwambafy alikuwa anajihakikishia njia na mamvi ndiye aliyemnusuru ndio maana hadi leo jiwe anamheshimu mamvi kwa kunusuru uhai wake...yalisemwa mengi ...naishia hapa Aikambee,
 
Wilderness Voice,
"mens rea "( Guilty mind) ipo wazi kwa Magufuli ingawa pia "Actus reus" inaweza kuwa ipo kwa asilimia 90. Magufuli yupo responsible kwa yote yanayotokea kama rais. Yeye ana jeshi, TISS, police nk. Kuhusu kushtakiwa huko The Hague ilikuwa one of the options......Atashtakiwa tu...wewe subiri kwani hujasikia kuwa aliyepigwa risasi na watanzania wengi wanaamini kuwa yeye Magufuli ndiye mhusika?

Wewe jipe moyo tu kumtetea Msukuma mwenzio...siku moja utashangaa. Acha kuwa bias...zungumza haki kama sivyo angalau uwe na sympathy na hao waliopotea akina Ben Saanane, Azory Gwanda na Lissu aliyekaribia kufa kutokana na risasi za TISS. Yanayotokea mbona huyo Magufuli wako hayakemei? NIMEFUNGA MJADALA SIWEZI KUMUONGELEA HUYO DICTATOR KWA SIKU MBILI NZIMA. NAWE NAOMBA UISHIE HAPO.
 
[emoji23]huwa nafurahi kusoma maoni ya wana jf kumuhusu Jiwe
Huwa nacheka sana, humu kila mtu anaweza kuielezea tabia ya Jiwe presently, futurely, na pastly hahaha
 
Akimaliza muda wake wa urais atamtaja kwenye kitabu atakachoandika.
Hicho kitabu kitajaa uongo kuliko kile cha Kalumekenge akataa kwenda shule au Essopo. Anapiga fix yuko ofisini akitoka atamzidi hata braza K wa Futuhi!
 
"mens rea "( Guilty mind) ipo wazi kwa Magufuli ingawa pia "Actus reus" inaweza kuwa ipo kwa asilimia 90. Magufuli yupo responsible kwa yote yanayotokea kama rais. Yeye ana jeshi, TISS, police nk. Kuhusu kushtakiwa huko The Hague ilikuwa one of the options......Atashtakiwa tu...wewe subiri kwani hujasikia kuwa aliyepigwa risasi na watanzania wengi wanaamini kuwa yeye Magufuli ndiye mhusika?
Wewe jipe moyo tu kumtetea Msukuma mwenzio...siku moja utashangaa. Acha kuwa bias...zungumza haki kama sivyo angalau uwe na sympathy na hao waliopotea akina Ben Saanane, Azory Gwanda na Lissu aliyekaribia kufa kutokana na risasi za TISS. Yanayotokea mbona huyo Magufuli wako hayakemei? NIMEFUNGA MJADALA SIWEZI KUMUONGELEA HUYO DICTATOR KWA SIKU MBILI NZIMA. NAWE NAOMBA UISHIE HAPO.

Asiye jua maana aambiwi maana. Naomba ukamfungulie Mshitaka Rais Magufuli. Viva Magufuli Viva! Viva Tanzania Viva!
 
Back
Top Bottom