Magufuli siyo shujaa wa Afrika, Kikwete ni shujaa wa Afrika

Hauna maneno ya kuudhi hata kidogo, nahisi kukupenda, kwani umeolewa?
kuudi sipafahamu.
Mimi siyo mlevi babu!! Kwakweli km
umenipenda?? Au umenitamani tu,
Sema tuyajenge kinafiki.
haya ninayosema hapa chini ni muhimu kwa maisha ya mtu...

kwanza una hela babu??
Unaishi wapi jieleze. km katavi.sijui Dar no.

Ok! Una hela kiasi gani.onyesha hapa.kadi unayo tumia faster usijeenda kuazima huko.

Unamiliki nini!! Any thing of african value weka hapa nisije nunua maatizo....
Je unapumulia wapi....
Kidizo unacho??
 
Shujaa wa kupaaa Kikwete ni Raisi hovyo alie wahi kutawala... Mnatulazimisha eti kikwete shujaaa labda kwenye mitandao sisi watanzania JPM ndo baba wa taifa ameacha alama ya kipekeee hasa kwenye maamuzi magumu... Kikwete muoga tu akisikia tatizo anaingia mitini. Eti acha upepo upite...
 
Mbona hukusema Kikwete alivyotukosanisha na Rwanda? Alivyotukosanisha na Kenya kwa ku-comment mbele ya Bush juu ya matatizo yao. Mbona hujaeleza vitisho tulivyopata toka mauaji ya Rufiji. Acha kusifia wadhaifu. Tafuta shujaa mwingine, ila kama unamuona ni shujaa, ni wako!
 
Mzembe wa kufikiri huyo achana nae!! Eti uamsho sasa alitaka akawachekee
 
Kwa hiyo hujaona MAGUFULI alipowasuruhisha Odinga na Uhuru?

Hujaona Magufuli alipopeleka majeshi Sudani na Kongo?


ANYAWAYS.

1. MAGUFULI aliwafundisha mataifa ya Africa kujitegemea. Kufanya kazi bila kulamba miguu ya wazungu. Hapa JK hawezi.

2. Mafuguli kasambaza Kiswahili. Sasa kinafundishwa mataifa mengi ikiwemo. Ghana, SA, Botswana, Ethiopia n.k.

3. Kkaifanya Afreica ijifunze kutoka kwake katika kuwekeza kwenye miundo mbinu mikubwa na ya kimkakati.


Bado una swali?
 
Ila, jitahidi tu, usitaniane na mwenye uhai wake Kwa kuwasema vibaya ambao amewachukulia uhai wao, na usijue kuwa huwenda zamu ya waleo kuondolewa uhai, ukawemo na wewe!!

Mshukuru Mungu Kwa kuwa wewe leo umeiona
Nakuhakikishia bila kumung'unya maneno!! Nitakufa nimeshiba Umri ndiii! Na vining'ina juu.

Kamwe ka mungu kako hako ka shamba ka kijijini hakaniwezi ng'oo!! katakufa kenyewe kaambie kabisa sisi ni majabari tunalindwa na Malaika.

Kata kuua wewe labda. Kwakuwa u mnafiki lkn sisi never. Kaamvia kajaribu tu uone km hutakufa wewe!!
Siyo kila anaekufa ni mungu wako!! mungu gani mshamba anaua hovyo achana nae huyo nendajaribu kwa Mungu wa sabato. Ule maisha.
 
Maweeee!!! Alijieleza vipi wakati kiingereza hajui....

Alisema "take msaada..... Akajibiwa what??
 
Sijajua tafsiri yako ya shujaa ni ipi ila kwa nijuavyo mimi shujaa ni mtu jasiri ambaye huweza kukabili jambo pasina kuhofia hatari.
Ndio maana nikawa nasema kwamba Dhaifu hawezi kuwa shujaa ni contradiction, hayo unayoyaeleza kwa upande wangu sioni lenye kumfanya kuwa ni kuitwa shujaa nadhani lipo neno lengine la kumpa kwa hayo aliyeyafanya, maana ndani ya nchi yake katika uongozi wake ameonekana kukosa ujasiri wa kushughulikia baadhi ya mambo na kufanya kuitwa dhaifu sasa tunaanzaje kumwita shujaa wa afrika kisa alikuwa anasuruhisha migogoro?
 
Nyambafu!!! unamjua Lumumba? unamjua Sankala? unamjua Ghadaffi? unamjua Che Guevara? wote hao ni mfano wa JPM.
 
Hivi nyakatibza Nyerere ni system ipi ya uchumi ilikuwa proved kwamba itawork out ?

Au dunia yote ilikuwa kwenye trial and error?

Kwamba kila taifa lilienda na mfumo ambao wao waliamini utasaidia uwe Ujamaa, ubepari, communism n.k.
Kiranga
 
Maweeee!!! Alijieleza vipi wakati kiingereza hajui....

Alisema "take msaada..... Akajibiwa what??
Embu kasome tena afu uje ucomment.

Au mimi ndo sijaelewa unamaanisha nini?
 
Kikwete ni shujaa wa familia yake fools top!
 
Kikwete ni shujaa wa familia yake fools top!
1. Aliwapiga M23 akainusuru Congo dhidi ya manyag'au wa Rwanda

2. Aliwapiga waasi wa Comoro akaleta amani huko

3. Akasuluhisha mgogoro wa Kenya wasichinhane sababu ya Ukabila

4. Akasuluhisha mgogoro wa Madagascar na kuleta amani

Ni mambo gani katiya hayo unadhani siyo ushujaa kwa Afrika?
 
Magufuli hata mikutano ya AU alikuwa haendi, Mikutano ya SADC nayo alikuwa akihudhuria kwa manati. Sasa mtu kama huyu ambaye hata kukutana na wenzie kujadili mambo ya Afrika alikuwa anaona tabu ni shujaa wa namna gani wa Afrika?
Mbona mnatumia nguvu sana kumpinga JPM? Ebu nendeni UN mkapinge ile taarifa yao ya kumuenzi JPM.
 

unaumia ukitokea pande zp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…