Una maana gani boss fungukaRais kujiingiza kwenye mipasho ya taarab si kitu cha kujisifia.Unaweza uka imagine kama rais angekuwa Obama angetoa speech gani!Sina la kujivunia kwani hadhi ya Rais ni kubwa sana kuliko maneno ya waandishi wa mitandaoni ambao wengine ni watoto tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawatanzania ndio baba wa mbinu za kimedani zinazohusiana na kuwaweka viongozi madarakani east,central and southern side of africa.
hilo linajulikana tangu enzi za kina mzee nyerere,mzee jomo kenyatta na kina mzee kenneth Kaunda.hiyo spirit bado tunayo.
πcephalocaudo said:Sawa
Kama wenywe tunashindwa kujiwekea marais wazuri, sijui tunapata wapi mbinu za kuwawekea wenzetu viongoz wazuri
π±π±π±π΅
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
kama nilisoma China wamewaekea ngumu mkopo wao wa kujenga reli lazima ipite Kenya...all in all whoever pulled hii dili ya hili bomba and his team hongereni sanaThe substitute for the railway should be the very railway, we are not finished with Uganda yet SGR is next
lol una ushahindi ndugutanzania ndio baba wa mbinu za kimedani zinazohusiana na kuwaweka viongozi madarakani east,central and southern side of africa.
hilo linajulikana tangu enzi za kina mzee nyerere,mzee jomo kenyatta na kina mzee kenneth Kaunda.hiyo spirit bado tunayo.