Magufuli to Kenyans: na mtaumia sana tu

Magufuli to Kenyans: na mtaumia sana tu

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
Magufuli alitamka maneno hayo leo kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta la Hoima-Tanga.
Apparently kuna baadhi ya Kenyan media outlets waliosema kwamba huenda Museveni hatokuja kwenye sherehe hii. Magufuli akasema "Ila naelewa wametoka upande ule waliokosa bomba. Wanaumia na wataumia sana tu"

Crowd: Laughter and applause!
Question: Was it right for our head of state kutamka maneno kama hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jili nomba anakenga nani kama mfadhili ?
 
That slap is way too massive on Kenya’s cheek.
 
Tanzania kuingiza zaidi ya billion 5 na million 600 kwa siku (Billions 173 na million 600 kwa mwezi) kwa mapipa laki 2, Uganda inategemea kuzalisha mapipa zaidi ya laki 3 kwa siku.
 
tanzania ndio baba wa mbinu za kimedani zinazohusiana na kuwaweka viongozi madarakani east,central and southern side of africa.
hilo linajulikana tangu enzi za kina mzee nyerere,mzee jomo kenyatta na kina mzee kenneth Kaunda.hiyo spirit bado tunayo.
Sawa

Kama wenywe tunashindwa kujiwekea marais wazuri, sijui tunapata wapi mbinu za kuwawekea wenzetu viongoz wazuri

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
cephalocaudo said:
Sawa

Kama wenywe tunashindwa kujiwekea marais wazuri, sijui tunapata wapi mbinu za kuwawekea wenzetu viongoz wazuri
😱😱😱😵
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
😀
 
The substitute for the railway should be the very railway, we are not finished with Uganda yet SGR is next

kama nilisoma China wamewaekea ngumu mkopo wao wa kujenga reli lazima ipite Kenya...all in all whoever pulled hii dili ya hili bomba and his team hongereni sana
 
tanzania ndio baba wa mbinu za kimedani zinazohusiana na kuwaweka viongozi madarakani east,central and southern side of africa.
hilo linajulikana tangu enzi za kina mzee nyerere,mzee jomo kenyatta na kina mzee kenneth Kaunda.hiyo spirit bado tunayo.
lol una ushahindi ndugu
 
Back
Top Bottom