JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Kwa wanao fuatilia sera za wagombea wa Urais hasa Lissu na Magufuli? Nani anajenga hoja za mashiko kuhusu Uchumi wa hii nchi?
Kiujumla tunataka kusogea mbele, tuone watu wanasafiri toka sehemu moja hadi nyingine kufanya biashara bia vikwazo wala shida ya kimiundombinu. Tunataka kuona uchumi wa uhakika, kuzarisha bila shida ya umeme, nguvu kazi n.k.
Tunataka kuona watu wenye afya ama wana pata matibabu na wanaendelea na kazi. Tunataka kuona huduma za kijamii zikiboreshwa.
Kwenye kampeni hizi nani hasa anagusa haya maswala kisawa sawa?