Maendeleo ya vitu VS maendeleo ya watu
Hapo kiuchumi wote wapo chini
Inatakiwa kwenda na vyote kwa pamoja bila kisingizio
Barabara zijengwe, ajira zitolewe, fly over zijengwe lakini pia mishahara kwa wafanyakaz iongezeke kwa mujibu wa sheria
nakupa darasa kidoog:
- Mchawi wa mambo yote haya anaitwa FEDERAL RESERVE amekaa washinton DC
- FEDERAL RESERVE ni shirika BINFASI linalohusiana na kuchapisha noti za marekani, wao ndo wanaruhusa ya kuchapisha dola mpya jinsi wanavotaka, serikali ya marekani haina mamlaka yoyote kuingilia operation yoyote inaohusiana na FEDERAL RESERVE
- sasa basi , hawa jamaa wanachapisha noti nyingi sana , inasemakana wanachapisha takriban trillion tatu mpaka tano kwa siku, lengo la kufanya ivi ni ili pesa zingine duniani ziwe chini, kwa sababu $ ndo pesa inaotumika kufanya biashara duniani kote, kwahio wanachapisha za kutosha lakini hazizunguki nchini kwao, na pia hazikai mda mrefu, miaka mitano noti haina kazi tena, so lazima uende na hii circle
- Nchi pekee ambazo hazitumii dolla, ni russia, china, cuba na afganistan: nchi zingine zote zilizobaki zinafanya biashara kwa USD, hiki kitendo cha kufanya tu biashara na USD ndo pigo kubwa la kuua pesa zote duniani, ikiwemo TSH
- sasa basi, unaweza kuuliza tatizo lipo wap!
iko ivi pesa yoyote duniani inafanya kazi kwa imani, in economical terms tunasema :MONEY IS VALUELESS" beyond the consumer faith, ukienda dukani unaweza kununua shati 10K, ukaenda duka lingine ukanunua shati ilo ilo mpaka 15K, hii yote ni kwa sbaabu pesa haina value, tunaizungusha kuendana na iman ya muuzaji, kama naona wanunuaji wangu wanauwezo sana basi napandisha bei, as simple as that, sasa hapa ndo matatizo yote yalipoanzia: wewe unaona maisha magumu kwa sababu wafanya biashara ndo wamekupangia bei kuanzia yule mfanya biashara mdogo pale nyumbani kwako anapongeza tsh 100 kwenye bidhaa zake, hawa ndo wanaokufanya uone maisha ni magumu
-lakini kwa undan ni watu wachache tu wanacheza na imani yako, yawezekan ilo shati ulilonunua 10K unaweza kuongea nae akakushushia akakuuzia hata 8K, lakini imani yako ndo ilikusaliti mwanzon, sasa mwendo ni huo huo kwenye huduma zingine zote, kuanzia unaamka mpaka unalala kuanzia mashirika makubwa mpaka yule mama wa kiosk wote wana impact maisha yako na kukufumba usione mbele kibiashara
- sasa tatizo vijana hawa kila sku wanalalamikia serikali wakati ni fumbo dogo tu, wewe unalilia nyongeza ya mashahara je yule mfanya biashara akiona purchasing power yako iko juu atapungza bei ama atapandisha?
- sasa baada ya mda utalalamika tena mshahara upandishwe ndo maaana mpaka saahv mtu akilipwa million anaona hela ndogo wakati mtu anaelipwa hata dola 10,000 ni nyingi sana! haswa ukiibadilisha kwenda tsh
-yote haya yamesababishwa na sera za kupandisha mishahara, na watu kua na ufinyu wa elimu, na ndo tundo lissu anachoshabikia,
simlaumu kwa sbabu alisoma ARTS form 3 , alisoma HGE,
-upande wa pili natambua ccm walifanya madudu kitambo lakini they are going on the right way to correct them:
- magufuli alitakiwa asipandishe watu mishahara ila asaidie watu wapunguze spending sana, mfano kama ulikua unasafiri kwenda
dar kwa basi labda 40K , sasa ivi unapanda treni, 14K! sasa apa umsave tsh ngap? si unaweza tumia kwenye huduma zingine na maisha bado yakabalance? na ndo kote duniani wanavofanya, uliingia kwenye ajira kwan ulishawahi kuona mwajiriwa analipwa vizuri, wote wanalipwa kidogo wasikimbie ofisi(nmetoa mfano tu sjasema umeajiriwa)