Uchaguzi 2020 Magufuli vs Lissu, nani yuko vizuri kuhusu Uchumi?

Uchaguzi 2020 Magufuli vs Lissu, nani yuko vizuri kuhusu Uchumi?

Kwa mipango bora ya uchumi Magufuli mlinganishe na viongozi wengine wanaojielewa sio huyu lodilofa anataka kutuaminisha maendeleo yanapatikana kwa kuingia barabarani umebebeshwa mabango unapiga makopo
 
Magufuli yupo vizuri short and clear kesho usisahau kuangalia tv asubuhi tunapokea pesa za kampuni yetu ya Twiga .Hao wengine walisema tutapelekwa MIGA na uchumi wao wanaotuambia ni wakuwategemea wazungu badala ya kujitegemea.

Mtu mzima anasema sisi tunawahitaji wazungu kuliko wao wanavyotuhitaji sisi ,huyu kashajinasibisha kuwa yeye ni wa nje anafurahi sana tunavyouza Almas yetu Antwerp ubelgiji badala tuwe kama Botwasana kwa sera zake nzuri ambazo sasa zimeanza kuzaa matunda na kwetu jitu bado linafikiri kikoloni nilijinga kabisa hili linyaturu.
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi mzuri utoka kwenye moja ya fani zofuatazo sheria, diplomasia, biashara,uchumi hizi fani zinahitaji reasoning capacity na sio claiming capacity
 
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swala ni la nchi sio chama hata Ufipa mnaweza kwenda maendeleo hayana vyama,unakwama wapi.
 
Kwa wanao fuatilia sera za wagombea wa Urais hasa Lissu na Magufuli? Nani anajenga hoja za mashiko kuhusu Uchumi wa hii nchi?

Kiujumla tunataka kusogea mbele, tuone watu wanasafiri toka sehemu moja hadi nyingine kufanya biashara bia vikwazo wala shida ya kimiundombinu. Tunataka kuona uchumi wa uhakika, kuzarisha bila shida ya umeme, nguvu kazi n.k.

Tunataka kuona watu wenye afya ama wana pata matibabu na wanaendelea na kazi. Tunataka kuona huduma za kijamii zikiboreshwa.

Kwenye kampeni hizi nani hasa anagusa haya maswala kisawa sawa?
Wote hawajasoma uchumi lakini mmoja hataki kushauriwa kwa sababu yeye ni kila kitu mwingine hatataka kuwa yeye ni kila kitu kwa kauli zake

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu wa hesabu na chemistry wapi na wapi kwa uchumi? Pia mwanasheria na uchumi wapi na wapi? Wote Hawaujii vizuri uchumi
 
Kuna kitu nahofia. Watu wanaomsemea Magufuli ndi wanaomharibia. Wanaopgania ni kama wanampiga
Wanaosifia ni kama wanambomoa. Timu ya ushindi ni kama timu ya kushindwa. Kuna haja ya kuchukua tahadhari

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
makamu mwenyekiti wa chama ambacho makao makuu yake ni kama banda la kuku ndiye mchumi wa kweli maana hakuna haja ya kuwa na ofisi ya kisasa! Marafiki wa chama kutoka Ulaya na hasa Ubelgiji tutaongea nao Hilton Hotel...sorry Tanzania hakuna Hilton mawazo yangu yapo advanced tati mi i ni mtanzania sijuhi kiingereza! Nipeni faragha basi!
Nakufananisha na bashite au Jiwe

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kazin kuna Boss wako wewe unafanya kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu za kikazi ila kuna wafanyakazi wenzio wananidhamu za woga wakimuona boss wanajifanya kufanya kazi ili waonekane tena unakuta wanafanya hata sehemu zisizo na umuhimu ili mradi tu wajipalilie kwa Boss .

Je kwa mfano huo juu kosa ni la Boss au wafanyakazi waonafanya kazi kwa kujionyesha?Bas kwa mfano huo usimlaumu Magufuli laumu watendaji maana Magu hakuwatuma ni wao walifanya ili wajishow..
Tadhali ndugu mpe Magufuli kura yako nchi hii kwa Magufuli ni salama tafadhali sana.
Siwez kumpa kura Jiwe hata kwa utani, bora nikupe wewe pamoja na utopolo wako

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom