Kutukana wagombea wengineSijui ni jambo gani magu anajua vizuri isipokuwa kuhesabu madaraja na kuwadhalilisha akina mama.
Magufuli yupo vizuri short and clear kesho usisahau kuangalia tv asubuhi tunapokea pesa za kampuni yetu ya Twiga .Hao wengine walisema tutapelekwa MIGA na uchumi wao wanaotuambia ni wakuwategemea wazungu badala ya kujitegemea.Sijui ni jambo gani magu anajua vizuri isipokuwa kuhesabu madaraja na kuwadhalilisha akina mama.
Werevu ni ujinga kwa mjinga.Acha kumlinganisha Raisi Magufuli na ujinga, ...
We kukamatwa ukiwa unkula Samaki uliemfuga mwenyewe kwenye bwawa lako,umeshampikamara maafisa uvuvi wanakuja kukamata mezani wakiwa na ruller we unaona ni sera nzuri.Magufuli yupo vizuri short and clear kesho usisahau kuangalia tv asubuhi tunapokea pesa za kampuni yetu ya Twiga .Hao wengine walisema tutapelekwa MIGA na uchumi wao wanaotuambia ni wakuwategemea wazungu badala ya kujitegemea.
Mtu mzima anasema sisi tunawahitaji wazungu kuliko wao wanavyotuhitaji sisi ,huyu kashajinasibisha kuwa yeye ni wa nje anafurahi sana tunavyouza Almas yetu Antwerp ubelgiji badala tuwe kama Botwasana kwa sera zake nzuri ambazo sasa zimeanza kuzaa matunda na kwetu jitu bado linafikiri kikoloni nilijinga kabisa hili linyaturu.
Kazin kuna Boss wako wewe unafanya kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu za kikazi ila kuna wafanyakazi wenzio wananidhamu za woga wakimuona boss wanajifanya kufanya kazi ili waonekane tena unakuta wanafanya hata sehemu zisizo na umuhimu ili mradi tu wajipalilie kwa Boss .We kukamatwa ukiwa unkula Samaki uliemfuga mwenyewe kwenye bwawa lako,umeshampikamara maafisa uvuvi wanakuja kukamata mezani wakiwa na ruller we unaona ni sera nzuri.
Akwende huko chattle,hana exposure, Rais very primitive.
Mabadiliko yapi ambayo hata yeye hasemi?.Lisu yuko katika nafasi nzuri ya kuleta mabadiliko ya kimsingi katika taifa hili. Magufuli nadhani yuko alergic hata kujadili suala la mfumo wa muungano au katiba ya nchi.
Kama wengine walivyotangulia, anahesabu madaraja tuu.
HakikaKazin kuna Boss wako wewe unafanya kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu za kikazi ila kuna wafanyakazi wenzio wananidhamu za woga wakimuona boss wanajifanya kufanya kazi ili waonekane tena unakuta wanafanya hata sehemu zisizo na umuhimu ili mradi tu wajipalilie kwa Boss .
Je kwa mfano huo juu kosa ni la Boss au wafanyakazi waonafanya kazi kwa kujionyesha?Bas kwa mfano huo usimlaumu Magufuli laumu watendaji maana Magu hakuwatuma ni wao walifanya ili wajishow..
Tadhali ndugu mpe Magufuli kura yako nchi hii kwa Magufuli ni salama tafadhali sana.